Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan.
Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia...
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina...
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu....
Ramallah, Palestinian Territories:
Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a...
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo...
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu.
=======
Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two...
Watu wengi wanajiuliza kwanini nchi za kikristo zinatetea Israel wakati Israel ni wayahudi na Wayahudi ni wapinga Kristo.
Kabla ya vita ya dunia ya pili wayahudi walikuwa wametapakaa duniani na...
Kwenye vita Askari wanaruhusiwa kutekana nyara lakini Askari wa pande zote xinaxopigana hawaruhusiwi kuteka raia wa kawaida na kuwafanya mateka wa kivita.
Hamas kuteka Raia wakiwemo watanzania...
Spika Mike Johnson wa Republican amefichua kuwa wabunge watapiga kura wiki hii kuisaidia Jerusalem Magharibi, na kuchelewesha ombi la Kiev
Ombi la hivi punde la Rais Joe Biden la kufadhili msaada...
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao.
Hizo video zilizosambaa kwenye...
Sasa tuone kama Israel ataenda kulipua US na Israel wameshikwa pabaya [emoji1787]
An Iranian Yazd Airlines plane has just landed at the Russian Khmeimim airbase in Syria. This comes after Aleppo...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha habari cha Qatar Al-Jazeera mjini Tehran.
Tehran itapuuza maonyo ya Marekani ya kutoingilia kati mzozo wa Hamas na...
Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza...
Tarehe 1 July,2023 ,WB imeitangaza Zambia pamoja na Guinea kama Mataifa yaliyokidhi vigezo vya kuwa Uchumi wa Kati wa Chini yaani Lower Middle Income Countries.
Ili Taifa liweze kuwa classified...
Hali ni mbaya sana huko Gaza
Inatisha sana
Source Al jazeera news
====
Hamas-run Health Ministry says Israeli airstrike on hospital kills hundreds
Palestinians evacuate wounded from a...
Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule.
Allah is nowhere to be seen...
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM...
Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti.
Wafilisti ni ndugu zake na...
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.
Katika...
Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas...
A now-sacked Ghanaian government minister has admitted that he accepted a cash gift of $40,000 (£33,000) "in order not to offend the sensibility of a potential wealthy investor", according to an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.