International Forum

News and Stories from rest of the World
Mzozo wa Israel na Palestina: Nini kinatokea sasa? Habari za asubuhi kwa wasomaji wetu. Haya ndio unayofaa kujua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameliambia bunge kuwa "siku ngumu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Israel wanataka kuimaliza GAZA ambayo ni kamji kama wilaya ya Bagamoyo kuionesha dunia kuwa bado ni Powerful house kijeshi. Lakini tayar aibu imeshawaingia. Israel haipig Palestina yote bali...
25 Reactions
194 Replies
12K Views
Baada ya shambulio la AIBU na la kustukiza toka HAMAS kwenda Israel na kambi zake, sasa tunaona Israel akiamua kuwasha kiberiti kamji kadogo ka Gaza na kuonesha kuwa wameamua kuchukua maamuzi...
22 Reactions
92 Replies
7K Views
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza...
15 Reactions
99 Replies
5K Views
https://youtu.be/XFXA-O8dAWg
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Hili kundi la Hamas limenishangaza sana hivyo naomba kuelimishwa namna lilivyoasisiwa na sifa za wanachama wake. Je, chawa wa Kipalestina wanaruhusiwa kujiunga na Hamas? Ahsanteni sana 😄
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama ilivyo Tanzania, Lebanon ilikuwa ni nchi pekee mashariki ya kati iliokuwa na mchanganyiko wa Wakristo na Waislam. Huku wakristo wakiwa wengi kwa zaidi ya asilimia 50 na Waislam wakifata kwa...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya nje atatembelea Israel hivi karibuni kujionea hali halisi ya Vita nchini humo Anthony Brinken ataongozana na Maafisa kadhaa Wabobezi wa Intellejensia wa US Al jazeera news...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mambo mengi, muda mchache ila tunaleta zote. ========= RUSSIAN PATROL VESSEL PAVEL DERZHAVIN. PHOTO: RIA NOVOSTI On 11 October, the Pavel Derzhavin, a patrol vessel of Russia's Black Sea...
2 Reactions
6 Replies
920 Views
Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Akitaja kujumuishwa kwa Umoja wa Afrika katika G20 "ni Fursa ya kipekee," Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) Dennis Francis aliipongeza India kama "sauti ya Nchi za ukanda wa Kusini Mwa...
2 Reactions
3 Replies
339 Views
Babkubwa la magaidi Iran linaonekana halikua na taarifa za HAMAS, bado uchunguzi unaendelea kufanyika huku Israel ikiendelea kusambaratisha kila kitu, wakimbizi wamefika 250,000 hadi sasa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Rais ya Sera, Fedha na Marekebisho ya Kodi, imeeleza kuwa Kodi zilizowekwa katika maeneo mbalimbali zinaongeza mzigo mzito kwa Wananchi, hivyo hatua ya...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Makundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Mgogoro wa Israel na Palestina usioisha umetokana na mambo matatu. 1.Dini Dini ndio inaweza kuwa chanzo kikuu cha mgogoro huu. Wa-Israeli mara zote wanarejea historia yao kutoka maandiko yao ya...
1 Reactions
2 Replies
444 Views
Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Mkasa wa mfalme Abraha umetajwa ndani ya Qur'an suraul Fiil tukio lililotokea mwezi kama huu aliozaliwa mtume Muhammad swalaLlaahu alayhi wasaLlam.Na ndio mwezi huu huu Hamas walipofanya kile...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom