Viongozi wa Hamas wamesema jeshi la Israel kwa sasa linatafuta kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa kwa kuwasingizia kwamba walichinja watu hasa wanawake na watoto wachanga. Wamekanusha kufanya...
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa...
Hii vita ya Middle East ina siri kubwa sana kwa kweli.
Tuendelee kuiombe Yukreinia..!!
Kiev must prepare for when foreign aid dries up, the fund’s representative has warned
Ukraine has to find...
JE? NI KWELI HUU MSIKITI WA AL AQSA ULIOPO JERUSALEM ULIJENGWA NA NABII SULEMAN?
Mgogoro mkubwa uliopo leo hii kati ya palestina na Israel ni kugombania kwenye hili eneo lililo jengwa huu msikiti...
Kwa wale wahenga nafikiri wote tutakuwa tunakumbuka kilichotokea Mashariki ya Kati tarehe 7 Oktoba mwaka 1973 katika vita iliyojulikana kana Yom Kippur war auvita ya Oktoba ambapo Egypt, Syria...
Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii.
Afrika tunajifunza nini?
Terming the inclusion of the African Union in the G20 “a master stroke,” United Nations General Assembly (UNGA) President Dennis Francis hailed India as a “voice of the Global South”.
In...
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.
Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa...
Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa...
Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu.
Israel bado...
Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa...
Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel..
Viongozi...
Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua...
Hakuna haja ya salamu.
Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza...
Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.
Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum...
Kitu ambacho watu wengi humu JF hawakifahamu vizuri ni kuhusu ukanda wa Gaza, moja ya maeneo ambayo ni kitovu cha mzozo kati ya Palestina na Israeli.
Kwanza kabisa, ukanda wa Gaza una idadi ya...
Leo nataka kutoa ujinga uliokidhiri vichwani mwa watu weusi juu ya wana wa Israel.
Na hapa nitajikita zaidi katika kuelezea tofauti kuu iliyopo baina ya makundi makubwa ya wayahudi ambamo wote...
Wanaukumbi.
Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho
Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana...
Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa.
Mwanzoni alivyobipu...
Kwa jamii yoyote ile, hakuna kilicho na thamani kuzidi uhai wa binadamu.
Lakini pia katila mapambano, bila ya kujali unachokipigania, ni lazima unatakiwa kupima matokeo ya mapambano unayoyafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.