International Forum

News and Stories from rest of the World
Papa Francis ambaye ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki lenye makao yake makuu Vatican inaonekana ni mpenda vita sana. Katika tamko lake hapo jana amesema kuna watu wanafanya mchezo na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Urusi iko Juu ya Ukraine Kwa kila kitu. Kinachojadiliwa ni kwa nini Urusi wameivamia kijeshi Ukraine? Ukraine inasifiwa kwa uimra wake wa kupambana kwa zaidi ya mwaka mmoja na nchi ilyoizidi kwa...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica. Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. ...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Urusi imesema Ukraine imeshambulia makao makuu ya black sea fleet yaliyopo Crimea. Inadaiwa Ukraine imetumia makombora ya Storm Shadow iliyopewa na Uingereza. --- Russia says 19 Ukrainian drones...
13 Reactions
61 Replies
6K Views
My Take Inakuaje Miafrika inajua kabisa inakataliwa na kutumbukizwa kwenye Bahari lakini inalazimisha kwenda Ulaya? Wacha wafe Sina huruma na ujinga Mimi. ---- MKUU wa Kanisa Katoliki duniani...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Utawala wa kijeshi nchini Mali umetangaza hii leo kuwa utaahirisha uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Februari mwakani. Uchaguzi huo ulilenga kuwarejesha madarakani viongozi wa kiraia katika...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’...
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
KashindeUpdates Elon Musk kupitia program yake ya Biotechnology Startup Neurallink wamefungua milango kwa binadamu wanaohitaji kuwa wa kwanza kufanyiwa majaribio ya kuwekewa kibanzi (Chip)...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari...
12 Reactions
161 Replies
7K Views
Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China Jumanne ilitoa waraka wa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China”, ukisema miaka kumi iliyopita, Rais Xi...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.” Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi...
2 Reactions
4 Replies
519 Views
Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike...
2 Reactions
8 Replies
747 Views
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Felix tshisekedi anaenda kutangaza kuondoka kwa monusco ndani ya nchi ya kongo kwenye mkutano wa umoja wa mataifa. Ili ulimwengu umuone shujaa wa hatari. Wakati wiki kazaa nyuma ameua raia wa...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye. Kagame aliulizwa anachukuliaje...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wapiganaji wake wamefanikiwa kuukomboa mji wa Bakhmut na miji mingine miwili. Zelensky ametangaza ukombozi wa mji wa Bakhmut uliofanywa na wanajeshi...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha.... Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom