International Forum

News and Stories from rest of the World
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe...
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Kama ilivyowahi kusemwa kuwa mafanikio ya kivita ya Ukraine kati yake na Urusi kuwa namba zake huenda hazipigwi kwa base ten kwani daima huwa ni makubwa mno kuliko uhalisia unaonekana. Wiki...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Makamanda wa Urusi waliofia Ukraine wazidi kuongezeka, kumbe na huyu alifagiwa humo humo na lile kombora ambalo lilichakaza kambi yote na kuua wanajeshi wengi sana na kulipua kila kitu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
" Wagner wana hamu ya kwenda Warsaw kutembea na wamekuwa wakinisumbua kwelikweli!" Lukashenko akizungumza na Putin.
24 Reactions
53 Replies
8K Views
Hawa ni waafrika ambao wanaamini kwamba wameelekezwa na 'mungu' wao muarabu kuchinja maskini Waafrika wenzao................ Marauding Boko Haram insurgents, Saturday, killed 10 farmers and...
6 Reactions
97 Replies
4K Views
Huyu huyu aliwahi kusema counteroffensive haipo na imefeli, leo ametoa amri izuiwe kwa nguvu zote, imekua aibu kila siku anapoteza maeneo, wanajeshi wake wanauawa sana. Russian President Vladimir...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi...
2 Reactions
3 Replies
839 Views
Taifa la Marekani liliingia vitani nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kuitia adabu kwa vile ilikataa kumkababidhi Osama kwao aliyetajwa kuongoza uripuwaji wa majengo pacha ya New York.Vita...
11 Reactions
9 Replies
1K Views
Mpaka sasa haijakuwa wazi sana juu ya kilichotokea pale kiongozi wa Wagner, Prigozhin alipofanya uasi na kuelekea kama kutaka kuipindua serikali ya Urusi. Nchi rafiki za Ukraine zilionenaka...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Republic wakimpitisha huyu kikongwe mhalifu kama mgombea wao wa Urais, watakuwa na kibarua kigumu kushinda. -- A judge has ruled that former United States President Donald Trump committed fraud...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi...
14 Reactions
83 Replies
6K Views
ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC. Soma makala hii hapa chini ==== Rwanda is the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Ikumbukwe HIMARS ndio zilisababisha mkondo wa vita ubadilishwe, mvamizi Urusi akawa mtorokaji, sasa zinakuja ATACM zenye uwezo mkubwa mara kadhaa kuzidi HIMARS....... RUSSIA could face...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbali na Watu 100 kupoteza maisha wengine 150 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka wakati wa sherehe ukumbini katika Wilaya ya Al-Hamdaniya, Mji wa Nineveh. Chanzo halisi cha moto huo hakijabainika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ghana imekuwa na Wimbi kubwa la Waandamanaji ya siku 3 mfululizo wenye hasira ambao wanalalamikia kupanda Kwa Gharama za maisha. Polisi usiku kucha wamekesha kupambana na Waandamanaji Waliotaka...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao.... Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone. Source...
4 Reactions
7 Replies
797 Views
Back
Top Bottom