International Forum

News and Stories from rest of the World
Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu. Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Jamaa wanajipigia viwanda, kila siku wanabishana baina yao kipi wapige leo.... Strike drones attacked the Russian Smolensk Aviation Plant, where Kh-59 missiles are produced, on 1 October, with...
2 Reactions
11 Replies
899 Views
Kuwekwa vikwazo vya upande mmoja (unilateral sanctions), na kutumia majukwaa ya kimataifa kuweka vikwazo hivyo kumekuwa ni moja ya njia zinazotumiwa na baadhi ya nchi za magharibi, kuzibana nchi...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Michezo ya 19 ya Asia inayofanyika mjini Hangzhou, China ni jukwaa kubwa zaidi la michezo barani Asia, na inafanyika kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda...
2 Reactions
0 Replies
284 Views
Fedha ya Mtandao(Cryptocurrency), Liquid Global ya Japan ambayo ni moja kati ya fedha 20 za mtandao zinazotumika zaidi, imedukuliwa na dola milioni 100 zimeibwa ambazo ni sawa na takriban Tsh...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku...
19 Reactions
278 Replies
15K Views
Ten thousand Ukrainian Armed Forces soldiers surrendered via the Volga radio wave While aggressive Kiev propaganda inflates the military significance of the approaching “Day of Defenders,” the...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hayo yote yalianzia baada ya Elon musk kupost pic ya Zelensky akiambatanisha maneno kuwa"Ile inapita dakika Tano na haujaomba msaada wa dola billioni
4 Reactions
7 Replies
791 Views
Hiii ni kweli kama umemaliza degree na huoni umuhimu wake we warudishie cheti wakupe ada uliyolipa ili uanzishe biashara. === Oludare Alaba; ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha LAUTECH...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mifumo ya rokets ya Marekani ikiwemo HIMARS, ambayo huwa yadaiwa eti ni bora zaidi Ulimwenguni, imekuwa ikidhoofishwa kielektoniki (jamming) na Urusi huko Ukraine na hivyo kushindwa kufanya kazi...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
"Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo. Pamoja na kukubali...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics 1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo 2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric 3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117 4. Misri...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Mifumo ya Urusi imeshindwa kuzuia mvua ya mabomu ya drones.....miji inapigwa kizembe sana. SCREENSHOT Drones attacked the Russian cities of Smolensk and Sochi on the morning of 1 October...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom