Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge.
Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye...
TULIAMINISHWA NI HATARI...KUMBE MOJA YA AIR DEFENSE MBOVU KUWAHI KUTOKEA[emoji16]
ZINAPIGWA NDANI YA RUSSIA [emoji16]
Ukraine ‘Hits Kremlin Top-End S-400 Anti-Air System,’ First Time in Mainland...
Jamaa ameishiwa hadi imebidi aokote okote.....
Russian President Vladimir Putin has instructed Andrei Troshev, the former head of the Wagner Group, to start forming "volunteer units".
Source...
New Delhi [India], October 2 (ANI)
Jammu and Kashmir achieved 100 per cent Open Defecation-Free (ODF) status, Union Home Minister Amit Shah on Monday said the state has attained new heights in...
Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔
...
Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi...
The main opposition leader in Seychelles, Patrick Herminie, has been charged with witchcraft, along with seven others.
Police say the case is related to the discovery of two bodies exhumed from a...
Ili Wakazi wa EU waweze kufurahia Haki zao za Msingi za Faragha (ad-free service) chini ya Sheria ya Umoja wa Ulaya pindi wanapotumia Facebook na Instagram, watatakiwa kulipia Tsh. 35,138 kwa...
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
Sasa rasmi ukraine yaanza kuchokwa. Poland kasitisha misaada ya silaha kwa ukraine.
Naona joto limeanza kupanda muda wowote Ukraine atafosiwa akae mezani na Mrusi vita iishe.
Urusi apewe pongezi...
Kuna watu wanasema Russia sio nchi inayovutia kwa watu wanaotaka kuhama.nimebaini wengi wao hawana Elimu ya kutosha.hizi data zinaonesha Russia ni nchi mojawapo ambayo wetu wengi wanahamia.
Laana ya kupenda kuhamisha mipaka na kupanua ardhi yao bado inaiandama nchi ya Uganda.
Tangu October 1, 2023 kumekuwepo na tafurani ya mipaka kati ya Uganda na Sudani ya Kusini na DRC.
Hoja...
Katika vita, hakuna jambo baya kama kukosa uungwaji mkono wa watu wako.
Kadiri siku zinavyokwenda, Rais Putin wa Urusi anazidi kupingwa na watu wake. Putin alijiaminisha kuwa vita dhidi ya nchi...
Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe!
Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana...
Hizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu.
Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa...
Rais Bola Tinubu, ametangaza ongezeko la Dola 32 za Marekani sawa na takriban Tsh. 80, 320 Kwa mshahara wa kima chini kwa muda wa Miezi 6 wakati ambao Wafanyakazi nchini humo wakijiandaa kuanza...
Kulingana na mapinduzi yanayoendelea kumekua na sintofahamu kwa viongozi waliodumu muda mrefu zaidi kwene uongozi!!
Je upi utakua mwisho wa hawa viongozi wa kanda ya ziwa!!!….
Je nn wanaogopa...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa...
So far, so good.
Kremlin special military ops inaenda vizuri sana.
Hata mizezi 20 haijatimia tokea kuanza kwa opesheni hii kabambe nchini Ukraine, Majimbo manne; Kherson, Zaporizhzhia, Donetsk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.