International Forum

News and Stories from rest of the World
The East African Community (EAC) and the European Union (EU) have today kicked off the 1st EU-EAC Regional Conference on Digital Transformation in the East African Community, in Arusha, Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Inaniuma saana kuona kila kukicha ndugu zangu wa sud kivu wao tu ndo wanakuwa wakimbizi, wao tu wanateseka. Watu wanaacha nyumba zao na kila kitu chao wanaenda kuwa wakimbizi nchi zingine. Watu...
2 Reactions
9 Replies
704 Views
Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya...
1 Reactions
5 Replies
811 Views
Hii ni ya moto bado[emoji91][emoji2410] Imebainika ya kuwa mke wa raisi wa 'Ukhraini', madam Elena Zelensky anafanya 'matanuzi ya kufuru', ikiwa ni pamoja na kununua vito vya dhamani vyenye...
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Mhasibu raia wa Marekani Martin Hart amekutwa amekufa katika mazingira ya utata mkubwa jiji Kiev nchini Ukraine. Mwili wake ulikutwa usiku katika kingo za jengo linaloendelea kujengwa. Polisi wa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Rais haikutaja sababu za Uamzi wa Rais ambao umekuja ghafla na kutotarajiwa. --- Ivory Coast President Alassane Ouattara has removed the country’s...
1 Reactions
6 Replies
713 Views
Nchi ya Ethiopia imekamilisha zoezi la kujaza Maji kwenye bwawa kubwa zaidi Africa la Uzalishaji Umeme ambalo lilileta mtafaruku wa kidiplomasia na usalama baina ya Egypt na Ethiopia. Awali Misri...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia. Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel. Iran...
13 Reactions
147 Replies
9K Views
MUAMMAR GADDAFI'S, LIBYA 'S FORMER PRESIDENT, LAST FORMAL SPEECH. "In the name of Allah, the beneficent, the merciful... For 40 years, or was it longer, I can't remember, I did all I could to...
27 Reactions
103 Replies
5K Views
Mkuu pamoja na wapiganaji wake wamewahishwa wakapewe ile dhawabu ya mabikira, ila sasa huyu kwa vile alikua mkuu sijui kama naye anapewa idadi sawa ya hao mabikira 72 au yeye atafikishiwa hadi 200...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo. Baadhi ya maswali ni...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanamichezo wa China wamefanya vizuri katika michezo ya 19 ya Asia iliyomalizika hivi karibuni mjini Hangzhou. Kama ilivyo kwenye michezo mingi ya namna hiyo, wanamichezo wa China wameendelea...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Baada ya Congressman Troy kupendekeza jina la Donald trump kama mmoja ya watakawania nafasi ya Uspika, Mzee wa MAGA mwenyewe (Donald.J. Trump) amesema yupo tayari kuongoza bunge hilo endapo kama...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nancy Pelosi na naibu wake wa muda mrefu Steny Hoyer wameamriwa kuondoka katika maeneo yao ya kazi katika Bunge la Marekani na kaimu Spika wa Bunge Patrick McHenry. Wote wawili waliambiwa kufuli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bunge la Marekani kwa wingi wa kura za Democrats na Republicans limemuondoa madarakani spika wake kutoka chama cha Republican, Kevin McCarthy. Hii inakuwa mara ya kwanza kwa spika wa bunge la...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom