Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23.
Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi...
Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao !
Hao kunguni wametoka wapi ...
Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini...
Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie.
Wanalipuana...
Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat...
Kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei, imezindua mfululizo mpya wa simu zake za kisasa za Huawei Mate 60 Pro, hatua ambayo imeendelea kuleta mshutako mkubwa nchini Marekani, ambako wabunge...
Waziri wa Elimu wa Ufaransa Gabriel Attal ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba zinazowapokea wanafunzi wapatao 1,500 baada ya kuvamiwa na kunguni.
Mapema wiki hii, mamlaka ya...
Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio....
============
The US and European partners are...
Miaka 10 iliyopita wakati Rais Xi Jinping anatangaza kuanzishwa kwa pendekezo la “ukanda mmoja, njia moja” (Belt and Road Initiative) si watu wengi waliokuwa wanajua kuwa pendekezo hili lingekuwa...
Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na...
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika...
Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba...
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na...
hii Vita/operation ya Hamas dhidi ya Israel , itabadili upepo wa Vita ya Ukraine na Russia . i
kumbukwe hivi majuzi spika wa US amevuliwa u spika kwa kile kinachodhaniwa matumizi mabaya ya cheo...
Katika hali inayoonesha mambo kuzidi kumgeukia Rais Zelensky wa Ukraine, tajiri mkubwa wa mawasiliano na aliyekuwa mfadhili mkubwa wa Ukraine Ellon Musk amemdhihaki kiongozi huyo kwa kumuonesha...
Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi...
Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea...
The National Assembly of Armenia has adopted...
Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa.
Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa...
Bomu la Tsar la Kisovieti.
Tsar Bomba ilikuwa bomu la nyuklia kubwa zaidi kuwahi kuundwa na lilikuwa sehemu ya mpango wa silaha za nyuklia wa Jamhuri ya Kisovieti wakati wa Vita Baridi. Lilipewa...
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.