International Forum

News and Stories from rest of the World
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail". Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Rais wa Brazi Lula da Silva ameshindwa kumhakikishia Rais mwenzake wa Urusi Putin ikiwa hatakamatwa akihudhuria mkutano wa G20 utakaofanyika mwakani nchini mwake Brazil. Akiwa katika mkutano wa...
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa kupunguzwa kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu na serikali mbalimbali duniani, kutakuwa na athari chungunzima. Shirika hilo...
1 Reactions
3 Replies
634 Views
Nadhani umesikia kuwa China inaidai Marekani pesa nyingi sana. Deni lao lipo hivi. China ni muuzaji namba moja wa bidhaa duniani. Na vitu hivyo anaviuza kwa dola. Mfanyabiashara wa China akiuza...
20 Reactions
28 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador story Published January 14, 2015 1:50am EST A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni. Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
“Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na...
0 Reactions
3 Replies
588 Views
Scientists Create Human “Entity” That Has No Mother Or Father ussanews.comSep 10, 2023 5:30 AM Scientists all over the world continue to “play God”, and we are all going to have to live with the...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Ni kumbukizi la shambulio la kigaidi kwenye Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Kenya na Ikulu yenyewe ya Marekani Ni palepale alipouwawa gaidi wa Tanzania Hamza
2 Reactions
9 Replies
688 Views
Yaani hii aibu kwa Urusi, jeshi la kainchi kadogo hapo pembeni linaitesa Urusi hadi raha. ======= Deputy Defence Minister Hanna Maliar has said that the Armed Forces of Ukraine regained part...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukipigana na nchi kama Urusi jua mwisho wako si mzuri. Baada ya counter offensive kushindwa vibaya sana na ukraine kupoteza maelfu ya wanajeshi sasa wameamua kumfanya waziri wa ulinzi mbuzi wa...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
The United Nations Secretary general declares that the era of global warming has ended and the era of global boiling has arrived. Scientists have confirmed July was on track to be the world's...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaripotiwa kwamba Urusi iko katika mkwamo mkubwa kwa kujikusanyia mzigo mkubwa wa Rupee za India bila kujua itazitumiaje au kuziwekeza vipi Mapema mwaka huu katika joto la siasa za biashara za...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Zanaki Headmistress, Delvine Koka (the hijabed madam in the middle) being surrounded by Pilly Ngarambe, the Representative of Dar Muncipal Education Officer (on her immediate left) and Shakil...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Back
Top Bottom