International Forum

News and Stories from rest of the World
Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama: Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin. "Kwamba, hatoki mtu Moscow!" Hakutokea BRICS Sauzi...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Jitahidi usome mwanzo mwisho. Mlipuko wa vita ya Russo-Ukrainian War umeiweka dunia njiapanda katikati ya chagizo linaloendelea la Uviko. Tayari dunia imegawanyika ambapo NATO chini ya US ina...
16 Reactions
59 Replies
6K Views
Kumalizika kwa mkutano wa G20 kumeshuhudia mataifa kadhaa makubwa ya kiuchumi duniani yakijadiliana na kuwekeana makubaliano ya kuunda mpango wa pamoja wa uchumi kati yao walioupa jina la...
4 Reactions
11 Replies
684 Views
Je, ni kweli Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa mtu mbaya kama tulivyoaminishwa ? Tuone kauli ya Mobutu ambayo aliongea "APRES MOI C'EST LE DÉLUGE ". Après MOBUTU c'est de la mort...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi...
9 Reactions
4 Replies
957 Views
Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote..... A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndege ya kivita ya Russia iliruka umbali wa mita chache kutoka katika ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kwenye anga ya Syria na kupiga baruti. Ndege hiyo iliipiga ndege ya Marekani na...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
MORE THAN 1,600 SCIENTISTS SIGN A DECLARATION WHICH CONFIRMS THAT “NO CLIMATE EMERGENCY” EXISISTS AT ALL. 02 September,2023 Not everyone in the field of science has abandoned the truth that...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndege isiyo na rubani ya Iran yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwendo wa mpwito mpwito... Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
"Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya...
1 Reactions
5 Replies
971 Views
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi. Huyu kapokezwa simu ya mkononi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo...
2 Reactions
12 Replies
895 Views
Chifu Mangosuthu Buthelezi, Muanzilishi na kiongozi wa muda mrefu wa chama cha Inkatha Freedom Party(IFP) amefariki dunia Jumamosi ya leo, Septemba 09, 2023. Buthelezi alianzisha IFP na baadae...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Ni kauli ya Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye amesema ukaguzi huo ulioanza Machi 2021, lazima ukamilishwe hivi karibuni ingawa hajaweka wazi tarehe kamili ya utekelezaji wake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema...
7 Reactions
264 Replies
16K Views
Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom