Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amewasili Kyiv Jumatano kwa ajili ya mikutano na maafisa wakuu wa Ukraine, akiwemo Rais Volodymyr Zelensky na Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro...
Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene...
A human trafficking ring that coerced Cubans to fight...
Baada ya kushindwa kuiteka Kyiv, na pia kuchezea kichapo cha counteroffensive, aona hamna namna ila kujaribu kuwagawanya Ukraine wamchukie Rais wao kisa ana damu ya Kiyahudi.
Kumbe ndio maana...
Rais: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya...
Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu...
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na...
Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi baada ya kusikiliza maombi ya Wagombea wa upinzani wa People’s Democratic Party, Labour Party na Allied People’s Movement wanaotaka kubatilisha tangazo la Rais...
Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo.
Mapendekezo hayo...
Vikwazo vya Silaha vyote dhidi ya Iran vinaisha mwezi ujao tujiandae kuiona Iran ikizidi kupaa kijeshi
Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa...
Maafisa wa kijeshi wa Iran, Saudia wajadiliana kuhusu ushirikiano
Aug 17, 2023 11:08 UTC
Maafisa wa kijeshi wa Iran na Saudi Arabia wamekutana kwa mara ya kwanza tangu mapatano yaliyofikiwa...
Mkutano wa kwanza wa kilele wa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Nairobi nchini Kenya. Katika miaka mingi iliyopita, China imechukua hatua madhubuti ili kuzisaidia nchi...
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Li Qiang ataongoza ujumbe wa taifa hilo katika mkutano ujao wa kundi la G20 nchini India, hatua inayoashiria kuwa Rais Xi Jinping...
Akiwa katika ziara katika eneo la Kanyama, katika Mji Mkuu wa Lusaka, Rais Hakainde Hichilema, amewataka wanaopanga mapinduzi wa Kijeshi wasiitishie mipango yao mara moja
Onyo hilo linakuja baada...
Dunia nzima kwa sasa inafuatilia kwa karibu ziara tarajiwa ya Kim Jong Un Rais wa Korea Kaskazini huko Moscow
Inasemekana Kim atamsaidia Putin Silaha za hatari
Marekani na Ulaya wameshikwa na...
Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa....
PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL
A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally...
Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua...
Kundi kubwa la watu wako hatarini kufa huko jimbo la Nevada nchini Marekani baada ya kuzingirwa na matope mazito kwenye eneo walilokwenda kushiriki sherehe za kila mwaka za kumchoma mtu "Burning...
Unawaliza watu kwenye nchi yao, nawe kubali kulizwa kwenye nchi yako.....
https://twitter.com/i/status/1698965937502785800
SCREENSHOT: VIDEO
A fire has occurred at the Sibur petrochemical...
Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za...
Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.