Hawa hawa wabeba javelin ndio walitafuna msafara wa Urusi wa vifaru vilivyokua vinakwenda Kyiv, wamepata jeuri ya kushusha mizinga iliyosifiwa siku zote, cruise missiles za Kh-101...
Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero.....
About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky...
Mnamo taehe 29 Agosti ndege ya abiria ya Sychelles ikiwa na abiria 128 ilipata matatizo ya kiufundi ikiwa angani eneo la Saudi Arabi. Ndani ya ndege hiyo kulikuwa na abiria watalii wa kiyahudi...
Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala.
Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na...
Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai...
Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine....
A...
Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine silaha zenye madini ya urani
Sep 03, 2023 08:49 UTC
Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imeamua kwa mara ya kwanza kuipatia...
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN
Sep 02, 2023 11:30 UTC
[https://media]Ali Bahreini
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa...
India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi.
Pongezi kwa India na wanasayansi wake....
Bado zamu ya Africa ipo...
MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI.
Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho...
Mzuka Wanajamvi!
Rais aliyepinduliwa wa Gabon Ali Bongo katoka kabila moja Fang na rais wa Cameroon Paul Biya na rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema.
Ni mipaka tu iliyowekwa na...
My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya...
Taratibu tutaongea lugha moja....
PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI
On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia.
Source...
Mambo yanazidi kua mambo nchini Niger. Wananchi wengi wao wakiwa wakina Mama waandamana jirani na kambi ya Jeshi ya Ufaransa iliyopo nchini hapo wakishinikiza waondoke.
Wakina Mama hao...
Huyu ndio wale vijana maskini walikuwa wanashangilia eti ni Mzalendo kampindua binamu yake 🤣🤣🤣🤣
"Gabon's new Head of State, Brice Nguema is a cousin of former President Ali Bongo. He owns three...
Kujiunga Jumuiya ya ASEAN na juhudi za kutumia sarafu za kieneo badala ya dola
Sep 02, 2023 02:43 UTC
[https://media]
Kufuatia kutiwa saini makubaliano ya kifedha kati ya Indonesia, Malaysia na...
Kiongozi mpya wa kijeshi Nchini humo, Jenerali Brice Oligui Nguema ameahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye demokrasia, lakini hajasema ni lini uchaguzi mpya utafanyika, pia amesema taasisi za...
Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia...
Mzuka wanajamvi,
Hii ni video ya bosi wa Cartel madawa ya kulevya mvenezuela Reinaldo Fuentes akitupwa na kuzamishwa katika bahari ya Caribbean akiwa hai.
Reinaldo Fuentes alijulikana kwa jina...
Mapinduzi ya kijeshi yanayotokea Africa yataendelea hadi pale viongozi wetu watakapo heshimu chaguzi huru, katiba, utawala bora.
Inashangaza sana kuona kiongozi anabadili safu ya uongozi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.