Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara...
Mbali ya kuandika kitabu chake cha "kitabu cha kijani" na kuelezea falsafa yake kuhusu uongozi, Nini kingine Muamar Gaddafi alifanya kuonesha kuwa na ndoto ya Afrika iwe moja?
Jambo gani kubwa...
Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali.
Baada ya...
Enzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji...
Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha...
Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora.
Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi....
The Ministry of Strategic Industries reported on the...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika”...
kwa kitendo ambacho amekionyesha bwana PK ni dhahiri kuwa kichwa chake kimelia alarm, ni kwamba anahisi hayuko salama kwa hizi coup d'etat zinaoendlea Africa. Sasa haya yote ya nini kwanini...
Nyufa mpya katika uhusiano wa Saudi na Marekani
Ahmad Kazemzadeh wa gazeti la Financial Times ameandika, akinukuu vyanzo vya habari, kwamba Saudi Arabia, ambayo haikufurahishwa na masharti...
Hiki ndicho kituo nachotamani kifuate baada ya Gabon
Ni miongoni mwa nchi inayoongozwa na washenzi zaidi Africa na Duniani
Ni nchi inayoongozwa na familia ya mafedhuli, makatili,mafisadi, na...
Ufaransa yapoteza madini ya manganese Gabon baada ya uranium Niger
Wakati dola la kikoloni la Ufaransa likiwa bado limeemewa kwa kupoteza madini ya urani ya Niger, ghafla moja imepigwa pute na...
Kumekuwa na utata mwingi kuhusu utaifa wa Rais wa Gabon wa sasa Ali Bongo Ondimba. Hapo awali wanasiasa nchini mwake walimtaka Rais huyo kuwasilisha kipimo cha DNA ili kuthibitisha kuwa kweli yeye...
Wasalaam,
Ulikuwa unafahamu hili?
Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya...
Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania.
Pia huwa wanajibanza...
Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu mbali mbali vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala toka chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na ukoloni wa ndani.
Hivi vifuatavyo ndivyo vipindi maarufu zaidi...
Mwanamke mmoja nchini Australia amekutwa na mnyoo akiwa hai, mwenye urefu wa sentimeta 8, kwenye ubongo wake wa mbele.
Mnyoo huyo aina ya Ophidascaris robertsi mwenye umbo la kamba, kwa kawaida...
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum...
Viwanda vya drones Ukraine vinazalisha kwa wingi, maelfu na kwa sasa Ukraine hawapotezi muda, wanazituma Urusi na kupiga popote na kote, anga za Urusi zimekua balaa, milipuko mikoa sita kwa mpigo...
Urusi yaanza tena kushiriki katika makubaliano ya nafaka - Wizara ya Ulinzi
Upatanishi wa Umoja wa Mataifa na Uturuki ulisaidia kupata uhakikisho wa maandishi kutoka kwa Kyiv, jeshi linasema...
Ni nchi moja tu Afrika mapinduzi ya kijeshi yamewahi kufanikiwa kurekebisha mambo na kuiweka nchi katika mstari wa kueleweka.
Mapinduzi ya kijeshi Ghana yaliyofanywa na Jerry Rawlings yaliitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.