1. Huu ni muungano usio na vigezo(criteria) thabiti kwa ajili ya kuiingiza nchi kuwa wanachama. Ili muungano uwe imara kama ulivyo azima uwe na vigezo thabiti vya nchi kukidhi kabla ya kukubaliwa...
Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.
Kwamba hatishiki wala kukuruka.
Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale...
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.
Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba...
Urusi imepoteza wanajeshi 260,820 nchini Ukraine tangu ilipoanzisha uvamizi wake mwishoni mwa Februari 2022, Mkuu wa Jeshi la Wanajeshi la Ukraine amedai.
Takwimu hazijathibitishwa na ni tofauti...
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara...
Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza...
Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura...
DILEMMA ni Ile hali ya kujikuta njiapanda ukiwa na pande mbili,tatu, au zaidi hambazo zote zinaitaji sana attention yako kwa wakati huohuo
Ni bahati mbaya sana hii Hali ndio inawakumba watetezi...
Warusi wanaishi maisha ya kukazia macho angani muda wote
Russia blocks fresh drone attack on Moscow, says mayor
Russia reported a new drone attack on Moscow in the early hours of Saturday which...
Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo
● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80%...
Mamlaka ya huduma za dharura na zile za usalama zimewataka raia na wageni mjini Makkah kuchukua tahadhari husika ili kujilinda na dhoruba ya upepo mkali, mvua na mafuriko iliyoikumba mji huu wa...
1. Umoja wa Ulaya (EU)
Huu ndio mfano wa umoja wa nchi bora zaidi kuwahi kutokea duniani. Wana pesa yao yenye nguvu na heshima duniani. Wana vigezo thabiti vya kujiunga na umoja huo, hakuna...
Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao
Mahamakama ya Uhalifu wa Kivita, ICC walitoa order ya kumkamata Putin popote atapoenda. Sasa yupo Afrika Kusini, tunasubiri wamkamate.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe...
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege.
Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana...
Reuters yasema kuwa leo Urusi imeipelekea Ukraine moto mkali mno na kuchoma vibaya vituo vya kijeshi vya Zelensky. Mashambulizi ya anga yamechoma uwanja wa ndege wa kijeshi pamoja na ndegevita...
Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura.
EU EOM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.