Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo.
Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner...
Beirut– Prison conditions in Lebanon have dangerously deteriorated amid the country’s economic crisis, Human Rights Watch said today. Overcrowding has become the norm, health care is subpar, and...
Jamaa aliona isiwe tabu, kaondoka na ndege kama ambaye anakwenda kushambulia, ila katua Ukraine na kujisalimisha.
Ndio kilichobaki sasa, maana wanajeshi wa Urusi mpaka sasa hawaelewi nini sababu...
Wakuu,
Mimi ni miongoni mwa wahanga wa ishu za online, katika harakati zangu za kutafuta side hustle online nilichokuja kukigundua job za online zina ma scammers wengi sana na wengi ni Wanaijeria...
Wakati mkutano wa 15 wa viongozi wa BRICS unaendelea mjini Johannesburg, Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo wataongoza mazungumzo ya viongozi wa China na...
Ukraine wanaendelea kuitesa Urusi walipua mfumo wa S-300 na kuua wanajeshi wote waliokua wameuzingira, Crimea.
Explosions in occupied Crimea took place on the morning of 23 August near the...
The coup attempt, the Prigozhin rebellion, or the «March for Justice», as Prigozhin called it himself, has already generated important changes in the system of state governance in Russia...
Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa...
Hamna sehemu salama ndani ya Urusi....
AIRFIELD "SHAIKOVKA", PHOTO: RUSSIAN MEDIA
A kamikaze drone crashed at the Shaikovka airfield in the Kirov district, Kaluga Oblast, Russia, on the morning...
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya...
UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita.
Kitengo cha amani na...
Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi.
Kuitambua...
Kundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi)..
"Emirate ya Kiislamu...
Waombaji waliojitokeza ni milioni 10, kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kati ya hao, wenye sifa walikua milioni 7 na ni 119,262 ndiyo waliosajiriwa, wakati wanaotakiwa ni 55,000.
Sababu ya...
[emoji779]️American Major General Anthony Potts has been killed in a Russian missile strike on the NATO HQ in the Ukrainian city of Dnepropetrovsk.
[emoji631]The US Military admits his death, but...
Dah! Haya mambo ya drones ndio future, sijui Afrika tunajipangaje, yaani ndege za kivita tena za gharama zinapotezwa na drones kizembe tu............Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioanzisha...
Raia Milioni 6 wanashiriki mchakato wa upigaji Kura kwaajili ya kumchagua Rais atakayeongoza Nchi hiyo ambapo Wagombea 11 wa nafasi ya Urais wanawania Kiti akiwemo Rais aliyeko Madarakani...
Urusi ijiandae kwa mvua ya drones.....
Warusi walikosea sana kuanzisha huu ugomvi bila kushirikisha ubongo.....
Mykhailo Fedorov, Ukraine's Minister of Digital Transformation, has announced a...
MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela.
Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo...
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.