International Forum

News and Stories from rest of the World
Saudi border guards have killed at least hundreds of Ethiopian migrants and asylum seekers who tried to cross the Yemen-Saudi border between March 2022 and June 2023. Saudi officials are killing...
1 Reactions
2 Replies
496 Views
Luna-25 ni jaribio la Urusi kutua kwenye mwezi lililoshindwa. Jaribio hilo la kutua lililenga eneo la south pole mnamo Agosti 20. Hata hivyo, kutokana na sababu za kiufundi, kutua kwa chombo hicho...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Aona bora kujisalimisha badala ya kufa maana wanapelekewa moto sana wale....mambo ya kufa wakawahi mabikira yamewatoka. ========= The Boko Haram Commander that instigated an ethnic clash between...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya mapinduzi ya kijeshi huko Niger AFRICA magharibi hali ya hewa imechafuka Ulaya na America, hakukaliki tena Muda wowote ww3 itaanza, kisa ni vita ya kiuchumi na ubabe wa America vs Urusi &...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mali, Burkina Faso zatuma ndege za kivita nchini Niger kukabiliana na hujuma tarajiwa ya ECOWAS Mali na Burkina Faso zimeituma ndege za kivita Ijumaa kwenda Niger ili kukabiliana na hujuma...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukraine imefanikiwa kulipua na kuharibu kabisa ndege kubwa ya Urusi Tu-22M yenye uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia. Ndege hiyo imelipuliwa baada ya Ukraine kufanya mashambulizi kwa kutumia...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Italia yazilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi Libya wakati wa Gaddafi Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa Italia amezilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi...
3 Reactions
4 Replies
867 Views
Russian forces launched a missile attack on the Chernihiv Music and Drama Theatre when a gathering of drone manufacturers and aerial reconnaissance training schools was held there as part of the...
2 Reactions
1 Replies
800 Views
UHUSIANO MWEMA KATI YA IRAN NA SAUDI ARABIA NI HATARI KWA ISRAEL NA NI USHINDI KWA SIASA ZA IRAN. Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו amesema kwamba, kurudishwa kwa uhusiano...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza, Putin anaonya waziwazi Marekani, NATO, Ufaransa na washirika wao wa Kiafrika kuhusu Niger. Rais wa Urusi Vladmir Putin ameonya muungano unaounga mkono nchi za magharibi wa...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka...
32 Reactions
52 Replies
4K Views
Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka...
18 Reactions
22 Replies
3K Views
Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya...
20 Reactions
42 Replies
3K Views
Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa hali hii Ukraine wasalimu amri tu la sivyo watakwisha Mamia ya wanajeshi wa Ukraine wauawa katika mashambulizi ya vikosi vya Russia Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa takriban...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna video naitafuta nitaileta niliitizama inaonyesha jinsi Warusi walivyofyekwa wakikimbia eneo la Urozhaine, aise cluster bombs ni hatari, mnauawa kama senene. Hii picha hapa inaonyesha jamaa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Naunga mkono msimamo wa Viongozi wa ECOWAS kuingilia Kijeshi na kumkamata huyo Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi na kujitangaza Rais. Hii tabia lazima ikome, Mageuzi yeyote yatafanywa na raia kwa...
6 Reactions
128 Replies
7K Views
Back
Top Bottom