Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya...
Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo.
Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq...
Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136
==============
Russian officials visiting Iran as part of cooperation on...
Kuna sehemu nimeona Putin amelazimika kuita kikao cha ghafla maana haimuingii akilini namna wanajeshi wake wanaachia maeneo na kuikimbia moto wa Ukraine.....yaani haelewi ukifanya mchanganyiko wa...
Soko la rejareja limekuwa sababu ya kuwavutia Matajiri wengi kutokana na kuongezeka kwa wateja wanaotumia bidha tofauti tofauti ,imekuwa ndiyo sababu kuu ya kuongezeka kwa nembo za kigeni nchini...
Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah.
Tangazo hilo limefanywa baada ya...
Watu watano wa familia moja ,baba, mama na watoto watatu wamefariki dunia kwa kula chakula chenye sumu iliyotokana na mdudu mwenye sumu jamii ya mjusi aliyedondokea kwenye chakula.
Tukio hilo...
Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika.
https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa...
Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan
Al Zawahiri alichaguliwa kuwa...
Takriban watu 1,400 wameripotiwa kufa kwa njaa katika eneo la Tigray, tokea Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP kusitisha Misaada ya Chakula nchini humo Aprili, 2023 baada ya kubaini kuwa...
Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi.
Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa...
Baada ya Umoja wa Kiuchumi wa Nchi za Africa ya Magharibi ECOWAS kuidhinisha Niger kuvamiwa Kijeshi, Tayari vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Umoja huo vimeanza kusogeza Majeshi yake mipakani mwa...
Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka
Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi.
Ndege hiyo...
Baada ya Transmission Company of Nigeria (TCN) kusitisha kusambazia umeme Niger, Algeria yatangaza kuipa Niger Umeme Bure. Wakati huo huo, za chini chini ni kuwa Urusi inataka kujenga kinu cha...
In the small hours of 13 August, a Russian ship opened "warning" fire on the Sukru Okan, a bulk carrier which was heading for the port of Izmail in Odesa Oblast, Ukraine, under the flag of Palau...
Warusi wanaendelea kupelekewa moto na kukimbia maeneo yanayokombolewa.
Hanna Maliar, Deputy Defence Minister of Ukraine, has reported that Ukrainian defenders have liberated the village of...
Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia...
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.
Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.
Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka
Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.
Shida ya Kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.