Takriban watu sita wameuawa na zaidi ya 50 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katikati mwa jiji kubwa la Türkiye, Rais alisema.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa mlipuko...
Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri Mkuu, #ShehbazSharif shambulio hilo liliwalenga Polisi waliokuwa Ibadani katika #Msikiti ulioko ndani ya eneo la Makao Makuu ya Polisi na lenye ulinzi mkali...
Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika.
Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo...
Tukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni.
Vyombo...
Wanajeshi 17 wa niger wauwawa kwenye shambulio mpakani na chad kutoka kwa makundi yenye silaha.
Makundi mbalimbali yenye silaha kama isil hufanya shughuli zake maeneo hayo.
Kwa mujibu wa...
Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao.....
No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad...
Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan
Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio...
Iraq imejenga ukuta kwenye mpaka wake na Syria ili kuzuia wanajihadi wa kundi la Islamic state kujipenyeza, chanzo cha jeshi la Iraq kimesema Jumapili.
Katika hatua ya kwanza ya ujenzi, ukuta wa...
Video ya IS yasemekana kuonyesha mauaji ya wakristo wa Nigeria
Kundi la Islamic State limechapisha video ambayo inasadikiwa kuonyesha raia 20 waumini wa Kikristo wakiuawa katika jimbo la Borno...
Makumi ya Wakristo waliuawa na kujeruhiwa katika shambulio la wapiganaji wa Islamic State ndani ya kanisa moja mashariki mwa Kongo.
Kongo - Kivu Kaskazini - Shirika la Amaq: juzi, mlipuko mkali...
Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza...
Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki...
In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of...
Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo.
Rebels killed at least...
Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL...
Serikali ya Mali imesema raia wa kawaida 132 wameuawa baada ya vikundi vya waasi wanachama wa kundi lenye silaha la Katiba Macina linalotajwa kuwa na uhusiano na Kundi la Al-Qaeda kuvamia vijiji...
Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa...
Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga.
Mbali...
Mashambulizi yaliyofanywa na ndege isiyo na rubani na mizinga yameua Wanajeshi 42 Nchini Mali katika shambulizi la Waasi Nchini humo.
Serikali ya Mali imesema katika shambulizi hilo lililotokea...
Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika.
Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha...
Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa....
US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.