Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa...
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Patrick Ryder hivi majuzi alisema imethibitishwa kuwa puto lililogunduliwa miezi minne iliyopita "halikukusanya taarifa za kijasusi wakati wa safari yake...
Katika siku za hivi karibuni Ofisi ya uwajibikaji ya serikali ya Marekani (GAO), ilitoa ripoti iliyohusu hali ya kandarasi za benki ya dunia kati ya China na Marekani, ikionesha kuwa China...
Polisi inawashikilia Wanachama 40 wa Muungano wa Upinzani waliokuwa katika kampeni, Mjini Harare, baada ya kudai kuwa Mkazi mmoja aliripoti usumbufu kutoka kwa Wanachama hao waliokuwa wamefunga...
Katika hali ya kutosoma vizuri nyakati na matukio na kwa upande mwengine kutaka kutumiza ajenda za nchi za magharibi, viongozi wa ECOWAS wanaoongozwa na Nigeria wamerudia nia yao ya kutaka...
Sarafu ya Urus ya Ruble imeporomoka kwa asilimia 90% dhidi ya Dola ya Marekani huku nakisi ya bajeti ya nchi hiyo ikifikia zaidi ya asilimia 30 ndani ya kipindi cha miezi 3. Hii inatokana na...
Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka.
A demonstration of the...
Tarehe 7 Agosti 2023, Burkina Faso ilichukua hatua ya kihistoria na ya kishujaa kwa kujitangaza rasmi kuvunja mkataba wa kodi wa miongo kadhaa uliokuwa ukilifunga taifa hilo na Ufaransa, hatua...
“Let me issue and control a nation’s money and I care not who writes the laws.” - Mayer Amschel Rothschild
Central Bank Digital Currency (CBDC) will end human freedom. Don’t fall for the...
Kwa mujibu wa tafiti, taifa la Venezuela ndilo lina hifadhi kubwa ya mafuta duniani ikifuatiwa na mataifa ya middle east kama Saudi Arabia, Iran,n.k
Wakati haya mataifa kama Saudi Arabia yakiwa...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua gesi kwa sarafu ya Kirusi, huku akimshutumu rais huyo kuwa mwenye nia...
Drones zinazidi kuwa kero kwa Warusi, na sasa viwanda vya Ukraine vimechachamaa kuzalisha kwa maelfu...
An explosion has occurred in the Russian city of Belgorod, damaging the facade of a...
Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Mafuriko hayo...
==========
Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka...
Baadhi ya maneno yaliyopo katika wimbo wa taifa wa Ukraine.
" we will lay down soul and body for our freedom "
"We will never let anyone be master in our land"
"We will stand in a fierce bloody...
Kwa mwendo kasi, zege hailali...ni kulipua mpaka wakomboe maeneo ya taifa lao..
Russian troops have been forced to retreat as Ukraine has retaken a key village in Donetsk, according to reports...
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za...
Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia...
---
Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.