Kugusa hili daraja huwa kama umegusa nafsi ya Putin, na ndio mojawapo wa sababu Ukraine huwa wanalipiga shaba sana.....
Video shared on social media on Saturday shows smoke coming from the...
Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea...
Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden.
Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na...
Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao....
August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago
Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency...
Nimependa sana namna dunia imejitolea kuhakikisha hako kainchi ka-Ukraine kamejilinda dhidi ya udhulumaji wa Urusi, madubwana yametumwa na kufanya Urusi ikose hamu kabisa ya hivi vita. HIMARS bado...
Jinchao Wei mwenye asili ya kichina, alipata nafasi ya jeshi la navy la Marekani.
Then alikuwa approached na ma agents wa China ili aww anawauzie documents na info zinazohusiana na meli za kivita...
Russia has successfully launched Luna 25, the country’s first lunar lander in 47 years.
The uncrewed spacecraft lifted off from the Vostochny Cosmodrome in Amur Oblast, Russia. Hitching a ride...
Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine.
Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia...
Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito.
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha...
Visiwa vya Hawaii huko Maui Vinawaka moto na Wananchi wanahamishwa kupelekwa Bara
Hadi sasa zaidi ya Watu 55 wameripotiwa Kufa
Chanzo: BBC
---
At least 55 people have been killed and hundreds...
Mtu mweusi hajawahi kuwa mstaarabu ,ana matumizi madogo ya akili ila Nguvu nyingi hata ambapo hapastahili..
Ufaransa alijifanya mkarimu na Mjanja kukaribisha hii ngozi Sasa ngoja ale hasara...
Hali imekua hovyo Moscow, watu wametulia wanatazama michezo mubashara kwenye TV, ghafla wanashuhudia mlipuko pembeni.
The moment of the drone explosion in Moscow, which the authorities claimed...
Uamuzi wa serikali ya Mali kupiga marufuku mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yaliyofadhiliwa na Ufaransa ni matokeo ya Ufaransa kusitisha misaada ya maendeleo kwa Mali. Serikali ya Mali iliona...
Africa inazidi kukataa ushoga,Sasa ni zamu ya Ethiopia yaanzisha oparesheni ya kuwasaka na kuwatokomeza Mashoga popote waliopo Nchini humo.
---
Mamlaka nchini Ethiopia imesema imekuwa ikiendeleza...
Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.
Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu...
Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie...
The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began.
Source...
Alishaonya rais wa Ukraine, mtasikia mashambulizi ndani ya Urusi......haya
Siku hizi ukimwaga mboga, hatumwagi ugali, tunatafuta mboga nyingine...
The number of people injured in an explosion at...
Kuna hali isiyo ya kawaida inaendelea duniani.
Ukifuatilia majarida na TV za nchi mbali mbali utakutana na yafuatayo.
North Korea yasema inajiandaa na kuivamia South kivita, haya ni maelekezo ya...
Historia ya mapinduzi ya kijeshi nchini Niger imeleta athari kubwa kwa utulivu wa kisiasa na utawala katika nchi hiyo. Niger imekumbwa na mapinduzi ya kijeshi mara kadhaa, hasa baada ya kipindi...
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Ange Kagame Ndengeyingoma atakuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Baraza la Mikakati na Sera (SPC).
Angel amekuwa akifanya kazi katika Ofisi ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.