Saudi Arabia imemteua balozi wake wa Jordan kuiwakilisha nchi hiyo nchini Palestina na awe na ofisi zake mjini Jerusalem ambayo ndio yatakuwa makao makuu ya serikali mpya ya Jamhuri ya Palestina...
Je Afrika Magharibi inaweza kutumia mbinu gani kubadilisha mapinduzi ya Niger?
Wanajeshi nchini Niger wanasema watapinga "uchokozi" wowote wa Ecowas na mataifa yenye nguvu ya Magharibi
Kundi la...
Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea.
Mazungumzo hayo...
Ni nyingi sana mpaka imekua mtihani kuzitunza, zinatumika kupelekea moto Warusi....
Ukraine has recovered a vast array of Russian military equipment and is putting it to use.
That includes 800...
mfano
1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta.
2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao...
Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............
Russia says it has evacuated staff...
Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Nigeria amesema kuna njama kutoka pande mbalimbali za kuchochea wanajeshi wa Nigeria kumpindua serikali ya sasa inayoongozwa na Bola Tinubu.
Afrika Magharibi...
Hii imefanywa na wazalendo, ikumbukwe pembeni na jeshi la Ukraine, kuna wananchi wapiganaji waliounda makundi ya kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya wanajeshi wa Urusi......
Petro...
Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa...
Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani
Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote...
Putin reveals imminent delivery of new hypersonic missiles
The frigate Admiral Gorshkov will be the first vessel to be equipped with the weapon
The Russian frigate Admiral Gorshkov fires a Zircon...
Haya sasa kumekucha Russia katoa onyo kwa ECOWAS hii ni baada ya US & France kusema wanaunga mkono ECOWAS juu ya uvamizi wa kijeshi kwa Niger.
Russia kwasasa amesimama na Niger, tukisema Russia...
Je ni kweli ushawishi wa Urusi kwenye mapinduzi yanayoendelea barani Afrika inaeza chochea yale mataifa ya ulaya ambayo yalikuwa wanufaika wa maliasili za Afrika ,kuanza kuona umuhimu wa kumkabili...
Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo...
Urusi imekuwa ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi ulimwenguni na kubwa zaidi barani Ulaya katika suala la usawa wa nguvu ya ununuzi. Purchasing Power Parity (PPP).
Uchambuzi huu ulichapishwa na...
New Delhi India
India inatafuta maelewano kati ya mataifa ya G20 dhidi ya wahalifu wa kiuchumi waliotoroka ili kuhakikisha urejeshwaji wao wa haraka wa mali, ndani na nje ya nchi.
Hayo yamesemwa...
Salama humu🙂
Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp.
Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini...
Shirika la Chakula duniani limetoa taarifa yake ya kila Nusu mwaka kuhusu hali ya uzalishaji wa Chakula Duniani hasa mataifa yenye migogoro ya Kivita. Taarifa hiyo inaonesha kuongezeka kwa mavuno...
Ifahamike sasa Ukraine wana viwanda vyao vya drones, Mrusi ajiandae kupambana na maelfu ya drones kote kote, wanapiga Moscow na Crimea, maeneo ambayo Putin alisema yakiguswa atafanya kitu.
17...
Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line.
20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.