International Forum

News and Stories from rest of the World
The same psycopaths and maniacs who started the Ukraine proxy war are again trying to start a second "proxy war," this time in Niger, Africa 08 AUGUST 2023 On July 26, a military Coup d'Etat...
3 Reactions
1 Replies
530 Views
Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe. Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa...
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa...
26 Reactions
84 Replies
7K Views
Weekend bila shaka ni murua kwako msomaji wa Jf na Karibuni katika ulimwengu wa kibepar na beberu wenu J Kipindi cha vita baridi duniani kilipambwa kwa kitu kimoja nacho kwa kizungu waliita "Arm...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Na Ahmed Rajab WIKI imepita kama upepo tangu Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas) itangaze kuwa inawapa wapinduzi wa kijeshi wa Niger muda huo wa wiki moja wamrejeshe madarakani Rais...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China...
2 Reactions
2 Replies
947 Views
Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini...
1 Reactions
1 Replies
639 Views
Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
5 Reactions
6 Replies
827 Views
EVERYBODY MUST UNDERSTAND THE MALIAN, BURKINABE AND NIGER CASE AGAINST IMPERIALIST FRANCE.The countries are simply fed up with France siphoning and looting their wealth through very...
1 Reactions
5 Replies
780 Views
Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi..... Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Ikumbukwe kwenye huu mto Warusi walikua wamejichimbia balaa kwenye upande wa pili, haya Ukraine wamevuka, mbele kwa mbele... Ukrainian forces conducted a raid across the Dnipro River in the...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria. ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Jeshi la Urusi linaendelea kulemazwa..... Ukraine’s defence forces have destroyed 6 Russian ammunition storage points and 21 pieces of military equipment on the Tavriia front in southern Ukraine...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Kiongozi wa serikali ya Niger Jenerali Abdourahmane Tchiani amemteua waziri wa zamani wa fedha kuwa waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya Julai 26. Ali Mahaman Lamine Zeine anachukua nafasi ya...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Guinea military junta chief orders shut down of AngloGold Siguiri mine The military junta which now governs Guinea has ordered AngloGold Ashanti to shut down the Siguiri gold mine after a...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom