Wanajeshi wanaolinda mipaka wa Saudi Arabia wanashutumiwa kuwaua wahamiaji 430 raia wa Ethiopia waliokuwa wakiingia nchini humo wakitokea nchini Yemen.
Hata hivyo Saudi Arabia imekanusha taarifa...
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani...
21 August 2023, 17:26 BST
The Russian Ministry of Defence said in a statement that an attack by a "copter-type UAV" took place at around 10:00 Moscow time (08:00 BST).
It stated the location as...
Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi...
Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.
Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako...
Supapawa anaendelea kupokea mapigo....
The Russian capital was once again attacked by drones on the night of 21-22 August, with a high-rise building and cars damaged in the city of Krasnogorsk...
Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia.
Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu...
Mamia ya wakimbizi wauwawa kinyama kwenye mpaka wa Saudi Arabia. Alafu hawaa ndio tunawapigania kwa nguvu zote waje kwetu. Jamani tufumbue macho na kutafakari tena na tena na hii mikataba.
======...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za...
Responding to the attack and arson of at least five Churches and many Christian homes in Jaranwala in Pakistan, Rehab Mahamoor, interim regional researcher for South Asia at Amnesty International...
Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini Afghanistan ni pigo kubwa kwa mabeberu na mabwana zao wakieneo
Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na...
Katika kuonyesha kwamba uongozi wa kijeshi nchini Niger umedhamiria kupambana na yeyote atakayeishambulia nchi hiyo.
Viongozi hao wameanza kuhamishia familia zao Dubai, Bukina Faso na kwingineko...
Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu.
Vipindi vya...
Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti.
Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa...
Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali...
TalibanCopyright: Taliban
Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yakeImage caption: Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yake
Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa...
Baada ya kupiga marufuku watoto wa kike kwenda shule sasa taliban wamepiga marufuku biashara ya kutengeneza nywele za wanawake na make up (hair and beauty saloon) nchini humo.
Hayo ni kwa mujibu...
At least seven people, including a child, were killed and 129 were wounded in a Russian missile strike on the northern Ukrainian city of Chernihiv on August 19, Ukraine's Interior Ministry said...
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.
Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi...
Jenerali Abdourahamane Tchiani ametoa ahadi hiyo baada ya kukutana na Wapatanishi kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) katika mji mkuu, Niamey.
Hata hivyo, ECOWAS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.