International Forum

News and Stories from rest of the World
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mzuka Wanajamvi! Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha. Kwenye...
2 Reactions
8 Replies
731 Views
Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama...
1 Reactions
8 Replies
707 Views
Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita. Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma...
0 Reactions
15 Replies
896 Views
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya...
13 Reactions
217 Replies
13K Views
Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na...
29 Reactions
86 Replies
7K Views
Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na...
18 Reactions
135 Replies
9K Views
Hotuba nzuri sana...... I like it. "HOTUBA YA ALBERT ONDO ASSA ILIBADILI FIKRA ZA MAJESHI YA ALLY BONGO?! ------------------------------------------ Siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa...
36 Reactions
46 Replies
5K Views
Balmoral Castle mzinga wa mjengo. Hope watoto hawatagombania urithi kama kwa Lyatonga au Dr Machache.
12 Reactions
47 Replies
5K Views
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kusimamisha uanachama wa Gabon ikiwa ni kujibu mapinduzi yaliyofanywa na kundi la maafisa wa ngazi za juu wa kijeshi wa Gabon siku moja kabla. Umoja wa Afrika...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza... ========== Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile. Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Hungary amesema kwamba, Ukraine haina nafasi yoyote ya kushinda; Warusi wana nguvu zaidi. Kwa mujibu wa televisheni ya ABC News, Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban amesema katika...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali ya Gabon imetangaza kuwa, wanajeshi waliohusika na jaribio la kuipindua serikali ya nchi hiyo wametiwa nguvuni. Taarifa iliyotolewa na serikali ya Gabon imesema kuwa, hali ya mambo nchini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao. Brice Oligui Nguema ni...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni jambo a kuchekesha na kusikitisha. General Jeff Mungai Nyagah wa KDF(Kenya Defence Forces) ameukimbia uwanja wa vita huko Goma, DRC. Sababu zilizotolewa ni kudharauliwa na maisha yake kuwa...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha...
2 Reactions
4 Replies
509 Views
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Uanachama wa BRICS umevunja sera ya US ya kuitenga Iran Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupewa uanachama Iran katika kundi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom