International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili.... July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya. Simplice Lontsi...
1 Reactions
2 Replies
606 Views
Aliyechoma msahafu mmoja nchini Sweden. Misahafu elfu moja imeinuliwa na kisomo cha pamoja nchini humo siku chache baadaye.
4 Reactions
179 Replies
8K Views
Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa...
13 Reactions
134 Replies
7K Views
Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Siasa sio uadui maana baada ya siasa kuna maisha mengine. Lakini wanasiasa wakongo wamefanya siasa kuwa uadui kwasasa mtu hana haki ya kutetea maslai ya wananchi kwa kuogopa kupewa kesi za uongo...
7 Reactions
76 Replies
4K Views
Rais Faustin-Archange Touadéra amezindua kampeni hizo licha ya kupingwa na mamia ya Wananchi pamoja na Wanasiasa wa Upinzani waliodai mabadiliko hayo ni sawa na kuidhinisa Urais wa Milele...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Aliamua kufunguka ukweli ambao Urusi imekua ikificha, anasikitishwa na namna wanapoteza wanajeshi na pia ukosefu wa silaha muhimu na mipango ya hovyo ya kijeshi...... ====================...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii...
7 Reactions
10 Replies
950 Views
Marekani yaripoti kuwa Urusi imeshayaangamiza jumla ya magarivita 34 ya Bradley kwenye Counter-offensive ya Ukraine iliyofeli vibaya mno. Idadi hiyo ni karibu theluthi moja ya magarivita ya aina...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Huku Putin akijambishwa na kakundi kake ka Wagner ambako kalimzingua hadi ikabidi kabembelezwe, Ukraine wanaendeleza kicha cha kurejesha ardhi yao, hili eneo lilikaliwa tangu 2014, liko mikononi...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwepo na taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari kwamba kutokana na waranti ya ICC iliyotolewa kwa Putin Africa Kusini isingependelea Putin ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi wa BRICS...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Urusi inataka kuanza zoezi la kutambua rasmi makundi ya mamluki ndani ya nchi, maana kwamba yeyote anaibuka na kubuni jeshi lake la mamluki kisha analisajiri na kuanza kufanya yake...
4 Reactions
10 Replies
894 Views
Kwa Sheria hiyo mpya sasa, Serikali ya Ghana itaachana na mazoea na kuungana na Mataifa mengine takriban 10 ya Afrika yaliyoamua kuhalalisha Bangi kwa matumizi ya Dawa, Viwandani na Biashara nje...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Generali mstaafu wa jeshi la Marekani Mark Kimmitt, amesemea kazi ya Ukraine ya kukomboa maeneo yanayokaliwa na Urusi ni kubwa sana. Amesema maeneo hayo yametenganishwa kwa kilomita karibu 20...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ngoja nikwambie Kama utapata bahati ya kumfufua Neil Amstrong kwa sasa na umwambie Elon Musk ameshafanikiwa kutuisha takribani rocket 50 basi anaweza akafikiria kwamba bado yupo usingizini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunzeni chakula Hali si hali huko tuendako. --- Nigeria’s President Bola Tinubu declares state of emergency over food Nigeria’s President Bola Tinubu has declared a state of emergency to tackle...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hali ya joto nchini Italia inatarajiwa kuongezeka kwa nyuzijoto 12C (53.6F) zaidi ya wastani. Utabiri wa siku ya Jumamosi kwa JIji la Roma unaonesha kuwa halo iko katika nyuzijoto 37C (98.6F)...
2 Reactions
1 Replies
845 Views
Watu wa chama cha udps (chama tawala) wanadai ni moise katumbi ndo amemuua msemaji wake cherubin akende kwasababu ni kuwa cherubin akende alikuwa anataka ajiunge na udps kwasababualingundua...
1 Reactions
2 Replies
588 Views
Back
Top Bottom