International Forum

News and Stories from rest of the World
Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka...
13 Reactions
58 Replies
4K Views
Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
RIP Kevin Mitnick Mdukuzi aliyegeuzwa kuwa mshauri wa usalama #KevinMitnick amefariki saa 17 zilizopita akiwa na umri wa miaka 59. Alikuwa na saratani ya kongosho. Kifo cha Mitnick...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine...
0 Reactions
7 Replies
954 Views
Baada ya sarakasi nyingi kuhusiana na ushiriki wa Putin katika mkutano wa BRICS utakaofanyikia Africa Kusini hatimaye vyombo mbalimbali vya habari duniani vimeripoti taarifa kutoka Ikulu ya Africa...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Cluster bombs ni Miongoni mwa mabomu yaliyopigwa marufuku na umoja wa mataifa kutumika kutokana na uhatari wake , lakini hivi karibuni marekani ameonyesha nia ya kumpatia Ukraine mabomu hayo na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya matukio yataendelea hivi hadi Crimea irudi kwa wazawa, kambi ya kijeshi yatiwa kiberiti, juzi daraja lilipigwa bomu. July 19 (Reuters) - A fire that broke out at the military training...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea..... Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin... Kyiv’s...
5 Reactions
150 Replies
7K Views
Kamanda wa vikosi vya ardhini wa Ukraine Colonel General Olesksandr Syrskyi amekiri kupokea shehena ya mabomu haramu yanayoripuka kwa kuchawanyika na kwamba wataanza kuyatumia siku za hivi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Shirika la Kimataifa la Human Rights Watch (#HRW) limeshutumu maafisa wa usalama wa nchi hiyo kwa kuwanyanyasa wahamiaji Weusi wa Kiafrika wanaofika nchini humo katika harakati za kujaribu kuhamia...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Katika vita inayoendele Kati ya urusi na ukraine tumeona kila mara siraha anayopewa Ukraine ikitangazwa mna media zote ulimwenguni mithili ya matangazo ya vifo.,huitaji kuwa na utaalam wowote wa...
5 Reactions
5 Replies
958 Views
Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Fear mongering and fake news about plagues continues unabated:British government sounds alarm over alleged spread of new killer virus in Europe Officials in the United Kingdom are telling their...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Wakati Tanzania inaendelea kubishana kuhusu UAE via DP World ya Dubai na Bandari ya Dar,DRC imechangamkia fursa. --- Ujumbe wa maafisa wa Umoja wa Falme za Kiarabu umesaini mkataba wa ushirikiano...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Yaliyoikumba nchi ya Sudan na kuingia kwenye vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe sasa yameingia nchini Urusi. Wakati nchini Sudan kulikuwa na jeshi la RSF linaloongozwa mpaka sasa na Hemedti...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mamlaka zimerejesha huduma za Kimtandao baada ya kufungia Mitandao ya Facebook, Telegram, TikTok na YouTube tokea Februari 9, 2023 kufuatia mvutano kati ya Serikali na Kanisa la Orthodox. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Do you want to learn about the top African hospitals? What would we do if we didn't have health-care services available to us? Many observers believe that the quality of a country's hospital...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
(ANI) WAZIRI wa Fedha Nirmala Sitharaman, Juzi Jumatatu, alikutana na mwenzake wa Bangladesh Mustafa Kamal kando ya mawaziri wa Fedha wa G20 na Magavana wa Benki Kuu wanaokutana huko Gandhinagar...
2 Reactions
0 Replies
297 Views
Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza...
17 Reactions
78 Replies
7K Views
Back
Top Bottom