Madaktari katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza mgomo usio na kikomo, wakilalamikia serikali kutoshughulikia malalamiko yao, yakiwemo kulipwa mishahara yote ambayo hawajalipwa kwa...
Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960.
Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura...
Waziri mkuu wa Cambodia amejiuzulu.
===
Cambodia's Prime Minister Hun Sen, one of the world's longest-serving leaders, has announced he will resign and hand over to his son in early August.
The...
Serikali ya Taifa la Afghanistan inayoongozwa na Taliban leo inatarajiwa kuyafunga Maduka ya urembo na saluni za kike zaidi ya elfu moja nchini humo ikidai pesa nyingi zinazotumika kwenye urembo...
Nimetuma maombi yangu online ya kupata visa Tanzania kwasasa ni takribani siku 30 lakini mpaka sasa sijapata majibu kuwa visa yangu imekataliwa au kukubaliwa.
Na kawaida wanamtumia mtu message...
Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London
Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero
Msikiti huo ambao...
Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha...
Kwa ufupi ili uwe superpower lazima uwe na nguvu kubwa kiuchumi na uwezo wa "ku project" power/kuipeleka nguvu yako katika eneo kubwa zaidi la dunia kwa njia mbalimbali.
Taifa pekee lenye uwezo...
China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika
Nyama ya mkebe kutoka nchini China
Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka nyama ya...
Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!!
A damaged building...
Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria
AFPCopyright: AFP
Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika...
Jamaa ana mjomba wake alikuwa fundi kushona nguo kiwandani huko Kenya sasa katika harakati za maisha akaanza kuchelewa nyumbani, kutokula chakula cha mke wake na maisha yake na familia kuanza kuwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo...
Uamuzi huo wa Bunge la Knesset, utabadilisha mfumo mzima kiutendaji wa Mahakama Nchini humo pamoja na kupunguza Mamlaka yake, licha ya maandamano makubwa kutoka kwa upinzani wanaopinga mabadiliko...
Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya...
Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to...
Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene....
40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia
On July 22, businessman and CEO...
Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Urusi. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadiliano na Poland ili ikubali...
The Ukrainian Air Force has reported that the Russian forces fired 19 missiles of various types, including five Oniks cruise missiles, on Odesa Oblast overnight on 22-23 July. Ukrainian air...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.