Wakuu Russia-Africa Summit imebuma huko ambapo Wakuu wa Nchi 17 tuu wamehudhuria Mkutano huo.
Rais wa Urusi Putin ametoa lawama Kwa Wazungu Kwa kudai eti inawadanganya Waafrica.🤪🤪🤪🤪
Wakuu wa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema anatazamia kuona Umoja wa Afrika (AU) unakuwa mwanachama kamili wa mataifa ya G20, akizungumza wakati wa kuanza kwa mkutano wa viongozi wa Afrika mjini St...
Top 7 ways the the Globalists plan on reducing the World population by 50% or more over the next few years.
1. Vaccines, especially the Covid jabs, reduce the population by injecting known...
Mahakama Kuu imewaondoa Wagombea 12 wa Ubunge kutoka Chama kikuu cha upinzani nchini humo (CCC) kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa mwezi Agosti kwa kigezo cha kuwa maombi yao yaliwasilishwa baada...
Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake...
Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days
Russian...
Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa.
======
Wanajeshi wa Niger wadai...
Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika.
Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo...
Katika kile kinachooneka Poland kuimarisha mipaka yake dhidi ya kitisho chochote cha usalama kutoka Belarus, Rais Putin wa Urusi ametoa kauli ya hovyo ya kibabe kwamba sehemu ya Magharibi ya...
Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo....
Russian President...
Jenerali wa Sudan, Yassir al-Atta, amekataa kwa lugha ya vitisho pendekezo linaloongozwa na #Kenya la kupeleka Wanajeshi wa kulinda amani wa Afrika Mashariki, kusaidia kumaliza vita kati ya...
Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa...
Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu.
Taarifa Kamili: Aljazeera.com
===
A soldier in the northeastern Democratic Republic of the...
Imeriporitwa drones kadhaa zimefanya mashambulizi huku nyingine ikitunguliwa katikati kabisa ya jiji la Moscow.
Urusi imeitupia Ukraine lawama kwa shambulio hilo lilifonyika karibu na majengo ya...
Ni karibu miaka sita tangu Marekani izushe mgogoro wa kibiashara kati yake na China, na kuubazita mgogoro huo jina la vita ya biashara kati ya China na Marekani, wakati uhalisia wake ni vita ya...
Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi...
Habarini wanajukwaa,
Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri.
Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa...
New Delh.
Tesla has expressed an interest in building a factory in India that would produce low-cost electric vehicles (EVs) for the local market and for export, sources said
Tesla...
Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni.
Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.