Hii video hapa chini inaonyesha namna Warusi kwenye mji wao mkuu wanakipata freshi, Zelensky amewaambia mpaka hapo walipofika hamna jinsi ila kuhakikisha Warusi pia na wao wanapokea, itabidi...
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq...
Argentine court starts trial of Catholic bishop accused of sexual abuse
By Agustin Geist
BUENOS AIRES, Feb 21 (Reuters) - The trial of a Roman Catholic bishop accused of sexually abusing young...
Kadiri unavyotaka kuujua kwa undani zaidi mkoa wa Xinjiang Uygur, China, ndivyo mkoa huu unavyoendelea kukuacha mdomo wazi, na kama ulidhani kwamba unaujua vizuri, basi kuna mambo mengi ya...
Hiki ndio kinawasumbua kumbe na ndio kimesababisha Putin aamue tu bora jeshi lake liishe lote tu.
Hapa kiaina kuna kaukweli maana Urusi imepoteza hadhi yote mpaka hapo, na ikishindwa kabisa na...
External Pressure followed by a range of sanctions now looming for KK regime.
What ODM oughtn't to do is to let go Ruto's lame-duck governance that now cost Kenya in terms of bloodshed.
ODM...
Akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa bunge uliopewa jina la "Russia-Africa in a Multipolar World", Raisi Putin alitangaza kuwa Urusi imefuta madeni ambayo nchi hiyo inayadai baadhi ya...
Mji wa Karamay uliopo mkoani Xinjiang, China, ni mojawapo ya maeneo yenye maajabu makubwa ya kiikolojia duniani. Tangu enzi na dahari mji huu ulihifadhi hazina iliyokuwa tuli kwa mamilioni ya...
Wahenga wanasema tembea ujionee. Ikiwa hii ni mara ya pili kutembelea mkoa wa Xinjiang Uygur, nimebaini kwamba hata utembee mara ngapi katika sehemu mbalimbali za mkoa huu, basi hakika hamu...
Hii picha inaonyesha uharibifu wa drones ndani ya Moscow, kwa kifupi Warusi wanaishi kwa hofu ya kuangza macho angani muda wote, yaani mjini kati, tena mji mkuu....
Putin alisema Urusi ikiguswa...
Baadhi yetu tukìwa tunaendelea kumtetea USA na NATO ambao wamekua wakiiba rasilimali kila siku Putin kama rais wa Urusi ametoa msamaha wa dola 23 bilioni kwa nchi za Afrika!
NB: wenda wewe...
Egypt is on the verge of overtaking Nigeria to clinch spot as Africa's Economic Powerhouse.
Kwa miaka Mingi Baba wa Uchumi wa Africa alikuwa South Africa kabla ya kupitwa na Nigeria miaka 4...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe.
Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye...
CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Rais wa Niger Mohamed Bazoum
Maelezo kuhusu taarifa
Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay
Nafasi,BBC News, Niamey & London
29 Julai 2023, 10:27...
FORTUNE GLOBAL 500
-The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually...
Dozens of extremists from Germany have travelled to the war zone since the beginning of the full-scale Russian invasion of Ukraine, the Interior Ministry said in response to a question from the...
Walichoambulia ni Urusi kutoa ahadi ya kutuma chakula Somalia na mataifa mengine tano, chakula chenyewe kiduchu yaani tani 25,000 ukizingatia umaja wa Mataifa (UN) hutuma tani 725,000 Afrika hii...
Wapiganaji wa Wagner nchini Belarus wanaweza kujifanya wahamiaji na kuingia EU, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki ameonya.
Wagner pia wanaweza kunaweza kuchangia uhamiaji haramu kutoka...
Vita vya kisasa vimebadilika sana, yaani drone inatumika kuondoa mfumo wa gharama hadi inafikirisha sana.....
Waafrika haya mambo ya drones sijui tumejiandaaje.
Footage shared on social media...
Donald Trump ametangaza azma yake ya kuwania urais kwa mara ya tatu, katika jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kuingia tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.