Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi wameonya kuwa endapo Jeshi lililofanya mapinduzi kwa kumuondoa Madarakani Rais Mohamed Bazoum halitatii maagizo hayo, watatuma Vikosi...
Hivi karibuni, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa onyo tena kuhusu hatari ya baadhi ya nchi zinazoendelea kushindwa kulipa madeni, nyingi zikiwa ni za Afrika. Hivyo baadhi ya vyombo vya habari...
Nimeweka hapa Hii taarifa kama angalizo kwa Wakulima wa Tanzania ambao wanategemea zaidi soko la Kenya
Rais Ruto ameweka ruzuku kwenye Mbolea na Kufanya Bei ishuke kutoka Ksh 3500 hadi Ksh 2500...
Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha.
Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake.
Imeelezwa katika...
Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference
The special counsel investigating Donald Trump's efforts to overturn the 2020 election results has issued four charges...
Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa Hijabu katika maeneo ya Umma ikiwemo Burka na Niqab zinazovaliwa na wanawake wa dini ya Kiislamu.
Matokeo rasmi yanaonesha kwamba waliounga...
Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu......
Supapawa...
Katika mji wa Karamay mkoani Xinjiang Uighur, China kuna soko moja la usiku ambalo ni maarufu sana. Soko hili linajulikana kwa jina la 'Farasi Wanane'. Baada ya matembezi ya siku nzima wenyeji...
Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa.
Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test.
Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo...
Ushiriki wa Marais wa nchi za Afrika uliofanyika jiijini ST. Petersburg nchini Urusi si sahihi kuupa sura kuwa Marais hao wamemsusia raisi Putin kama wapinzani wa nje wa Urusi wanavyojaribu kuteka...
Mara tangazo la raisi Bazoum kushikiliwa na walinzi wake lilipotoka ilionekana kama ni jaribio la mapinduzi ambalo lingeshindwa.Lakini hata hivyo kiongozi wa kikundi hicho Gen Abdourahmane Tchiani...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja...
Wachambuzi wa kijeshi zaidi na zaidi wameingia kati kuashiria kuwa Ukraine haiwezi kushinda vita vinavyoendelea katij yaje ba Urusi.
Baadhi ya wachambuzi hao wamesema raisi wa Zelenky katika vita...
Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya...
Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum, huku mivutano ikiongezeka kati ya...
Mahali halisi ya kile kinachodhaniwa kuwa ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika huenda imepatikana - BBC imekuwa ikiangazia juu ya umuhimu wa ugunduzi huo nchini Ghana.
Kwa...
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-
1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya...
Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani...
Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.