Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo...
Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar...
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote.
Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko.
===
Russia's most...
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.
Sasa mzee analisuka jesjhi...
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:
1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk...
Katika hali ya kuzidi kuimarika mahusiano kati ya India ambaye ni mwachama wa BRICS na West, Kampuni moja ya Ujerumani inategemwa kupewa kandarasi ya mabilioni ya Euro kutengeneza nyambizi 6 za...
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya...
Russia yastaajabisha Ulimwengu kwa kutumia kiasi kidogo mno cha pesa kwenye vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa kwenye kutwaa ardhi na miji mbalimbali ya Ukraine ikiwemo Bakhmut...
Katika kile kinachoonekana kama uthibitisho wa kutokuwezekana kwa nchi moja kushinda vita kwa kutegemea misaada 100% kutoka kwa nchi nyingine, Ukraine imekumbwa na uhaba mkubwa wa makombola kiasi...
Serikali za majimbo ya Edo na Kwara zimepunguza siku za kazi kuwa 3 kwa Wafanyakazi wa Serikali ili kuwasaidia kukabiliana na gharama kubwa za mafuta na usafiri baada ya tangazo la Serikali kuu...
Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora...
Jeshi la Polisi Nchini #Senegal, linamshikilia Mwalimu huyo ambaye amekuwa akitafutwa kwa wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuwafanyia kitendo hicho Wanafunzi wake wa Kike aliokuwa akiwafundisha...
Mzuka wanajamvi!
Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa.
Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye...
Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea...
Serikali ya Australia kwa Ushirikiano na Marekani wanafikiria kuipa Ukraine Ndege vita aina ya F/A 18 Hornet. Ndege hizo 41 zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine.
Sifa kuu ya F/A-18...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake leo Jumatano Juni 7, 2023 alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma.
Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku...
Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma...
Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye...
Rais wa Chama cha upinzani Ensemble Pour la République Moise Katumbi aliulizwa kama anaona atashinda uchaguzi mwaka huu.
Majibu ya katumbi ni kuwa kwa Felix Tshisekedi upinzani hauna kazi kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.