International Forum

News and Stories from rest of the World
Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza. Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan Wakiachiwa hivi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Sijui hawa watu wanatuonaje lakini, hivi wanaona sisi wajinga wa mwisho kabisa yaani hatuna hata akili! inasikitisha sana. Mbaya zaidi kuna wabongo wenzangu ambao hawajui kutumia akili zao nao...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Hawa jamaa bwana! Yani rais anaongea unaona kabisa hapa rais anaongea. Amegusa maeneo yote kuanzia vita, historia mpaka uchumi! Hotuba imeshiba kabisa!!
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Why does China have so many state-owned enterprises ? China, the world's second largest economy, has the largest number of state-owned enterprises (SOEs) in the world – over 150,000. In many...
8 Reactions
177 Replies
7K Views
JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na...
5 Reactions
103 Replies
5K Views
Hizi ndizo nchi zenye majeshi yanayofanya biashara na kumiliki sehemu kubwa ya uchumi wa nchi wa nchi zao. Hizi nchi ukitaka biashara zako binafsi zikuendee vizuri inabidi utafute koneksheni na...
3 Reactions
13 Replies
970 Views
[emoji1130][emoji1190] Oman has ordered 1,000 Iranian Aras 2 tactical vehicles and combat drones from Iran - Reuters. Source: militarycognizance.com
1 Reactions
6 Replies
685 Views
Wapalestina 12, wakiwemo makamanda watatu wa kundi la wanamgambo wa Islamic Jihad, wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza. Maafisa wa afya wa Palestina walisema...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo ilikuwa siku kubwa ya mapumziko nchini Russia ya kukumbuka Urusi ilivyoshinda vita kuu ya Pili ya dunia Siku kama hii huwa na shamra shamra nyingi sana kubwa likiwa ni la military Parade...
15 Reactions
127 Replies
5K Views
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano kabla ya uchaguzi mkuu. Haya yanajiri wakati uchumi wa nchi hiyo...
3 Reactions
9 Replies
936 Views
Kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2014 Urusi yarudi katika tip 10 za mataifa yenye uchumi mkubwa duniani! Maswali ya kujiuliza 1. Vikwazo havifanyi kazi? 2. Kama sio vikwazo Urusi ingeshindwa kuwa...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face...
7 Reactions
224 Replies
13K Views
Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia...
3 Reactions
103 Replies
4K Views
Western elites have forgotten the consequences of the Nazis’ “insane ambitions,” Russian President Vladimir Putin said during his Victory Day Parade speech on Red Square in Moscow. “The globalist...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Tukio lililotokea Texas na watu kadhaa kuuliwa,linasikitisha sana,wale wenye intelijisia ya uhakika walishindwa kutoa tahadhari kabla ya tukio. Inaskitisha sana, watu kadhaa wameuliwa katika hiyo...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi. Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine Uzuri hizo drone...
10 Reactions
160 Replies
14K Views
Back
Top Bottom