Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na...
Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana...
Ukraine imesema imefanikiwa kutungua kombora la hypersonic Aina ya Kinzal lililorushwa na Urusi wiki hii huko Kyiv.
Urusi imeleeza Kwanza imetungua kombora hilo kwa kutumia mfumo wa kutungua...
Tangu hivi majuzi ambapo Ukraine walionyesha uwezo wa kupitisha pitisha drones kwenye ikulu ya Urusi, imedhihirika hamna popote salama nchini Urusi ambapo Ukraine hawawezi kufikisha mapigo, na...
A Welsh artist has created a portrait of the King using Marmite on toast, to "raise a toast" to the coronation. Nathan Wyburn wanted to celebrate by creating a piece of art using ingredients from...
Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.
Je, tutegemee nini?
BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations...
Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake.
Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa...
Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili.
==============
The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail...
Tumezoea kuona Polisi wakituliza maandamano ya Raia katika maeneo mbalimbali na hata wakati mwingine kushuhudiwa kwa vurugu kati ya Raia na Polisi wakati wa maandamano lakini mambo yamekuwa...
Kizazi cha sasa cha Uingereza kinaonesha hali ya kutokupendezwa na mfumo wa ufalme uliopo Uingereza.
Je, hali hii inaweza pelekea kuzikwa kwa ufalme Uingereza kwa miaka ijayo?
Matukio ya siku ya...
May 3, 2023
The Khazarian Mafia through Lucifer want absolute control of humanity and World resources to advance their World Government agenda.Anybody opposed is eliminated
The Khazarian...
Vikosi vya Ukraine vimeidungua ndege yake isiyokuwa na rubani ambayo ilisema kuwa ilikuwa imepoteza udhibiti juu ya eneo la katikati mwa mji mkuu Kyiv.
Kulikuwa ni milipuko ya dakika 15 hadi 20...
Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023.
Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu...
Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China?
Shenzhen, a miracle that began in 1980...
Afrika nzima tulisikitika viongozi wetu wote kupandishwa coaster wakati wa maombolezo ya Malkia Elizabeth.
Jamani leo King Charles anasimikwa, je, mmewaona kwenye coaster?
Wengi mnakumbuka hii amri ya Putin alipowaamrisha wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe, leo hii mzee wa watu hata kulala ni shida maana drones zinapaa juu ya kichwa chake kama mbu....
Bendera za nchi zote za Jumuiya ya Madola Tanzania ikiwemo zitapeperushwa Kwenye Gwaride rasmi
Swali ni je Marais wa Africa watapewa au wameandaliwa usafiri gani?
Juzikati Rais Ruto alilalamika...
Yuan ya Uchina itakuwa na wakati mgumu kuchukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu kuu ya akiba duniani - na kuna uwezekano kwamba haitafanyika hata katika miaka 20 ijayo, kulingana na...
Picha: Ajay Banga
Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia leo wamemteua Ajay Banga kuwa Rais wa Benki ya Dunia kwa muhula wa miaka mitano kuanzia Juni 2, 2023.
Ajay Banga hivi majuzi aliwahi...
Mkuu wa kundi la Wagner group, Prighozin ameonekana katika mojawapo ya clip akionyesha maiti fresh za wapigani wa kundi hilo zinazochuruzika damu huko Bakhmut akiwa anafoka kwa uchungu .
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.