International Forum

News and Stories from rest of the World
Srinagar (Jammu and Kashmir) Various departments are busy preparing for the G20 summit to be held in Srinagar, while many others have finalized their preparations. There is also a program for...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Ikiwa ni takriban siku 240 tangu kutokea Kifo cha #QueenElizabethII wa Uingereza, hatimaye leo Mei 6, 2023, Mtoto wake wa kwanza, Charles III ataidhinishwa rasmi kuwa Mfalme ikiwa ni miaka 69 na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!? Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani...
2 Reactions
7 Replies
593 Views
*zele kama zele anamjambisha mtu mzima * May 5 (Reuters) - Yevgeny Prigozhin, leader of Russia's Wagner Group mercenary force, said in a sudden and dramatic announcement on Friday that his forces...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Wajumbe 3,000 wa Bunge la Kitaifa la Wananchi (NPC) wamempitisha #XiJinping kuwa Rais ikiwa ni utekelezaji wa Mabadiliko ya Katiba yaliyoondoa ukomo wa mihula miwili wa kwenye nafasi hiyo. Chama...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Nilipokuwa Mdogo nilikuwa nikisika watu wakisema kwamba kuna watu wanatajirika na utajiri wanauchukua kwa wahindi. Kwa akili zangu ilikuwa ni ngumu kuwaelewa. Kati ya mwaka 2007 na 2008 kuna...
5 Reactions
54 Replies
9K Views
Hali hiyo imetokea katika Majimbo yaliyopo Kaskazini na Magharibi ikielezwa mvua kubwa ilinyesha usiku wakati watu wengi wakiwa wamelala na kuwa chanzo cha kusababisha vifo vingi. Viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
Four Deng Xiaoping ideas that changed China Deng Xiaoping (1904-1997), who is widely known as "the chief architect of China's reform and opening-up” for his painstaking efforts in leading the...
1 Reactions
5 Replies
639 Views
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Serikali ya Urusi imetoa katazo la drones za aina yoyote angani mwake siku zikisalia chache kabla rais kuhutubia huku tishio la drones likitamalaki, ambazo zimeonyesha jeuri ya kupaa juu ya kichwa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Picha: Fang Bin Fang Bin, Mfanyabiashara mdogo kutokea Wuhan, China aliyesambaza taarifa kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Uviko19 kupitia mitandao ya Youtube na WeChat ameachiliwa huru baada ya miaka...
0 Reactions
6 Replies
815 Views
Picha: Sararat Rangsiwuthaporn Sararat Rangsiwuthaporn alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za kumuua Rafiki yake Siriporn Kanwong ambapo alibainika kuwaua 12 wengine kwa sumu hiyo Polisi...
2 Reactions
0 Replies
813 Views
Serikali ya Afrika ya Kusini imesema inamshawishi Rais wa Urusi Vladimir Putin ahudhurie mkutano wa BRICS nchini humo kwani watamkamata kutokana na kuwa mwanachama wa ICC. Rais Putin anafikiria...
23 Reactions
95 Replies
6K Views
Hii ni baada ya shambulizi la Moscow kufeli swali ni kwanini rais wa Ukrain akimbilie nchi jirani? Amehisi nini? Au anaogopa nini?
8 Reactions
101 Replies
6K Views
From the outside it looks like an ordinary warehouse. But inside this unassuming building, in Hod Hasharon central Israel, is one of the most ambitious energy projects in the Middle East...
1 Reactions
9 Replies
939 Views
Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za...
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar. Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China...
31 Reactions
130 Replies
8K Views
Wakala wa kudhibiti chakula na dawa nchini humo (Nafdac) imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'substance' ya Ethylene Oxide...
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Orodha ya hivi majuzi ya kampuni zinazokua kwa kasi barani Afrika na Financial Times na Statista kwa 2023 inadhihirisha kuwa kampuni katika sekta mbalimbali ziliweza kuendeleza biashara zao hata...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Back
Top Bottom