Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra akiwa amejificha chini ya kiti chake.
Rudolf Erasmus alikuwa akiendesha...
Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021.
Kwa...
Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia.
Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi...
Hivi watu wa mashariki ya kati sijui wakikaaga bila vita huwa hawafurahi kabisa haya sasa hivi Israel na Rebanon wapo wanashabuliana kwa makombora na mizinga.
Yaani binti kachora huu mchoro wa kukashifu vita na hii imetosha babake kuswekwa ndani miaka miwili..... Ujamaa ni mfumo wa hovyo sana maana ndio umesababisha Warusi wamekua wazungu mazombi...
Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres
Reem Abaza wa UN News akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuhusu ziara zake za...
Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres
Reem Abaza wa UN News akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuhusu ziara zake za...
Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS.
Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS...
Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani...
Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata.
Hata...
Professor Peller The magician was one of the Nigerians that opened Nigerian to what magic was. He is the father of Shina Peller the popular socialite, he always moved with huge and electrified...
Kuna mazungumzo mengi sana ya kuondokana na ulimwengu ambao taifa moja lina nguvu na ushawishi mkubwa zaidi duniani(unipolar) kwenda kwenye mfumo ambao mataifa kadhaa yatakuwa na ushawashi na...
Ni wakati sasa wa NATO kutumia mapanga.
=====
South Africa have refused to sell weapons to Poland. It’s likely that Polish government tried to buy the South African ZT-6 Mokopa ATGM, which can...
Hii conversation ni kwa mujibu wa kinachoendelea pale ukraine.
Putin: Atakayeingilia atapata pigo la kihistoria.
Biden: Sawa hatutaingilia ila sisi tutampa silaha tu awapigie na tumamluki...
Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu.
Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake...
Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman.
Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa...
Rais Vladmir Putin amekiri kwamba vikwazo vya nchi za Magharibi vilivyolenga kuinyima njaa Kremlin ya fedha kwa ajili ya uvamizi wake Ukraine vinaweza kuleta pigo kwa uchumi wa Urusi.
"Vizuizi...
Jeshi la China limesema litakagua meli zote zinazopita njia ya bahari ya Taiwan.
Imesema meli zote zitasimamishwa na kukaguliwa.
Taiwan imesema haitakubali meli zake zikaguliwe liwalo na liwe...
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia
Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo...
Jiji kubwa barani africa, Lagos, Nigeria, limetangaza kuwa litafunga baadhi ya misikiti, na makanisa na vilabu vya usiku ili kupunguza kelele zinazowaadhiri wakaazi milioni 20 wa jiji hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.