International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwenye kujua kwa kina chanzo cha mzozo huo usioisha atueleze na kutuelewesha hapa. Binafsi naona mauzauza tu hata sielewi historia ya huu mgogoro maarufu zaidi duniani.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeamini Israel anaiogopa hezbollah kupita maelezo jana makombora 100 yalifyatuliwa kutokea lebanon kwa Hezbollah badala ya kushambulia Lebanon wameenda kupiga Gaza hii inaonyesha jinsi walivyo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha Moise Katumbi Hapo juzi kwenye mkutano wa chama chao alinukuliwa akisema ikitokea CENI wakikataa candidate ya Moise Katumbi, Jimbo la...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau kuna news 🗞️ inatrend inaonekana Dalai Lama siyo haba Pia soma > https://www.jamiiforums.com/threads/dalai-lama-avuna-aibu-ya-karne.2085138/ --- The Dalai Lama has apologized after a...
-1 Reactions
25 Replies
3K Views
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara. Rais huyo alisisitiza kwamba, "People on both sides of the...
8 Reactions
97 Replies
4K Views
Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea. Maandamano yalizuka na kuenea kwa...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Pro-West Slovakia last month became the second country in central and Eastern Europe after Poland to donate fighter jets to Ukraine Slovakian MiG-29 fighter jets given to Ukraine are faulty and...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa, usupapawa umewaisha, wamekwama kwenye kamji ka...
1 Reactions
9 Replies
998 Views
TRUMP MBAYA KWA MAREKANI MZURI KWA DUNIA Ni Rais aliyeweka mbele maslai ya marekani, aliyepambana kuipandisha dola kwa nguvu zake zote na kuirudisha heshima ya Marekani iliyokuwa imepotea kwa...
2 Reactions
10 Replies
840 Views
Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya...
17 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais Macron wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinaogopa atatokea Rais mwingine kama Trump au anaweza kurudi madarakani yeye mwenyewe na akaiweka Ulaya yote katika hatari kubwa na hisani ya US...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Biden admits he is using indictment(s) against Trump "to make sure he does not become President again APRIL 2023 Biden all but confirmed that his team is coordinating these Trump indictments to...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Sergey Lavrov, Waziri wa mambo ya nje na mwanadiplomasia wa juu kabisa wa Urusi ameendelea kutoa mashariti ya kuingia katika meza ya amani ya mazungumzo na taifa la Ukraine. Awamu hii anasema ni...
12 Reactions
101 Replies
5K Views
Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo. Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia...
3 Reactions
66 Replies
4K Views
Jeshi la Israel lilivamia Msikiti wa Al Aqsa, kupiga waumini waliokuwemo, kurusha mabomu ya machozi. Palestina yasema Israel imevuka mpaka Jordan imesema haitavumilia kinachofanywa na Israel...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwenye hii vita tumesha sema sana Mrusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 na Ukraine ni kama kivuli tu! Sasa hizi ni moja ya documents zilizo vuja kitoka Marekani zikionesha mambo kadhaa juu ya...
13 Reactions
118 Replies
6K Views
Kiongozi wa kiroho kutoka Asia ya mbali amejikuta katika aibu ya kumnyanyasa mvulana Kiongozi huyo ambaye kwa miongo mitano amekuwa mwenye ushawishi duniani mkanda wake wa video umevuja...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom