International Forum

News and Stories from rest of the World
Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Urusi imefanya kile ilichosema kuwa ni jaribio la mafanikio la kurusha kombora la "mabara" la balestiki, wiki kadhaa baada ya kusimamisha ushiriki wake katika mkataba wake wa mwisho wa kudhibiti...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Hii inashtua na kuzua gumzo na imedhibitishwa na secretary wa Rais Biden kuwa atawakilishwa na Balozi wa Marekani huko Vatican sababu marehemu Pope Benedict aliomba asihudhurie mazishi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Tulisema tokea mwanzo Mrusi anapigana na mataifa 30 pale Ukraine. Ingekua USA anapambana na mataifa 30 wenda taifa lote lingekua limefeli siku nyingi sana!! Lazima tutoe pongezi kwa Urusi kwa...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Ayatullah Noori Hamedani: Utawala haramu wa Israel unavuta pumzi zake za mwisho. Ayatullah Hussein Noori Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wakuu wa kidini katika mji mtakatifu wa Qum...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa Marekani bado haijampatia Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi. Msemaji...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Nyaraka za US zilizovuja zaonyesha Misri imejianda kuipatia Russia zana za kivita. Nyaraka zilizovuja za Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (CIA)...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
The head of the CIA admits once again that the nuclear program of Iran is not for the development of weapons. The head of the United States Intelligence Agency (CIA) has once again admitted that...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America" Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
There are lots of concepts which people use without knowing what they actually mean and entail.Some of the concepts have actually evil agenda,so when you use them,you are helping to advance the...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Donald Trump atakapoapishwa,akishusha tu mkono walinzi wote wa Ikulu wataachishwa kazi ya kumlinda. Donald Trump anakuja na walinzi wake,among them 1000 Russians or russian- trained private...
9 Reactions
159 Replies
19K Views
Urusi inakabiliwa na upungufu mkubwa wa wafanyakazi nchini humo hali inayoongeza hali mbaya katika uchumi na kuufanya kususua zaidi tangu uvamizi wake uanze huko Ukraine. Hii ni fursa kwa...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna nchi za hovyo hapa duniani...huko Myanmar jeshi la anga limewamiminia mabomu raia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara na kuua raia 100 papo hapo Huu ni ukatili uliopitiliza wananchi walikua...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Back
Top Bottom