Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia...
Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi...
How the U.S. defrauds the World and buys its Allies
15 APRIL 2023
The U.S. is the only country that can print "unlimited" money and exchange it for real goods from other nations. This is due to...
Katika hali inayoonyesha kuwa uzayuni ni ufurutu mipaka uliokubuhu utawala wa Israel umewashambulia na kuwajeruhi makumi kadhaa ya wakristo wakiwa ibadani Jerusalem
On Holy Saturday, Israeli...
Ndio maana huwa naaambia kuwa westerns wanasita kupeleka silaha zao Ukreine kwa kuogopa dhahama kama hizi
Sitaki mseme ni propaganda angalia multilpe sources ntakuwekea hapa...
Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo.
Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani...
Prigozhin, kiongozi wa kundi la mamluki wa Wagner mwenye ushawashi mkubwa katika siasa za usalama za Urusi ameitaka mamlaka ya Urusi kutangazia raia wa Urusi na dunia vita vya Ukraine vimeisha...
Idadi hiyo ni taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ikielezwa kuwa imefikiwa baada ya mashambulizi ya siku 3 mfululizo kati ya Jeshi la Serikali na Wanamgambo wa Kundi la RSF.
Wakati huohuo, Balozi wa...
Wazalishaji wa Truck za Kamaz kule Urusi we anataka kufungua kiwanda cha ku assemble truck Congo ili ziwasaidie katika zila baraba zao.
Kamaz ni moja ya magari magumu mno na yenye roho ya paka.
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini...
1. Bill Gates
Huyo ametoa sehemu kubwa ya utajiri wake kusaidia sekta muhimu za Afya, Kilimo, Mazingira na Elimu kote duniani. Amechangia pakubwa kumaliza tatizo la polio kwenye mataifa kama...
Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi...
Macron akiwa kama mshirika muhimu wa umoja wa ulaya amefanya kitu kinacho onekana kama ni kuiwekea vikwazo yva kimsaada Ukraine.
Huku bwana Zelenskyy akiendela kuililia ulaya iendelee kumpa...
Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala.
Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of...
Kuna taarifa kuwa Kiongozi wa serikari ya Sudani ya kaskazini na naibu wake wametofautiana. Jambo ambalo limesababisha jeshi kugawanyika na kuanza kupigana wao kwa wao, je mzizi wa mgogoro huu ni...
Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu...
Thread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa.
Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu...
Ma-security guards wa kirusi wa kampuni ya Wagner (kama hawa K4S security guards wa Bongo) wanaopambana na special forces wa USA, UK+ NATO huko Ukraine, wameamua kusherehekea sikukuu ya Pasaka ya...
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa.
"kwanini Afrika kwa sana"?.
"Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.