International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Zimesalia siku 2 tu kabla ya kuweza kutazama majaribio ya urushwaji wa Rocket kubwa ya Starship ambayo ndio rocket kubwa mpaka sasa katika kizazi cha Rocket Katika kufanya safari za Mwezini na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuondolewa madarakani kwa dikteta wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir mwaka 2019 hakukusaidia nchi hiyo kujikwamua kutoka katika misukosuko na machafuko yake ya kisiasa ya muda mrefu. Sasa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Israel ilijua zamani kuwa bila kuzitumia nchi mbili zilizo jirani yake kama kinga dhidi ya uvamizi wa taifa la Palestina basi hawataweza kuendelea kuwapo pale kama taifa.Nguvu ya kijeshi...
6 Reactions
92 Replies
8K Views
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Urusi imepitisha sheria inayopiga marufuku matangazo na propaganda za aina yote yahusuyo ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo almaarufu kama LGBTQ. Sijui kama nchi zetu hizi za kiafrika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
I have reported here that the Russian War is a multidimensional operation,including harvesting of human organs,Adechrome tapping and a demonic csfeteria.Now a Russian probe claims that Ukrainians...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Kuna dhana nyingi ambazo watu huzitumia bila kujua zina-maanisha nini hasa. Baadhi ya dhana hizo zina ajenda mbaya, kwa hivyo unapozitumia, unasaidia kuendeleza ubaya unaotokana na ajenda hizo...
0 Reactions
3 Replies
792 Views
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Siku ya jana umoja wa ulaya uliweza kurusha chombo anga za mbali ambacho kimepewa jina la Juice space craft kuelekea katika safari ya miaka 7 ya uchunguzi kwenye miezi mbalimbali ya sayari ya...
1 Reactions
11 Replies
804 Views
Gleb Karakulov, aliyekuwa mwanausalama wa muda mrefu katika kikosi mahiri cha ulinzi cha Putin alitoroka katika utumishi huo akiwa na cheo cha Kapteni huko Kazakhstan kabla ya kukimbilia West...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa. Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukraine sasa in uwezo wa kuuza umeme nje ya nchi kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miezi sita huku miundombinu yake ya nishati ikirejea katika hali ya kawaida kutokana na mashambulizi ya mara...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
What is Dedollarisation ? Is a process of substituting or reducing US Dollar as the currency used for (i) trading oil and/or other commodities(i.e.petrodollar),(ii) buying US dollars for the...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
ZOMBIE APOCALYPSE brought to you by Anthony Fauci and Bill Gates Posted on April 6, 2023 Predictive Programming at the CDC Website Foreshadows worldwide public health crisis triggered by...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20. Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23. Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama alivyokuwa Obama kizazi cha Kenya ndivyo alivyo Biden kizazi cha Ireland na Rishi kizazi cha India. Rais Joe Biden ataitembelea Ireland na kuzuru maeneo ya kizazi chake. === US President...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom