International Forum

News and Stories from rest of the World
Takriban watu 78 wameuawa katika mkanyagano katika shule moja katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa wakati wa ugawaji wa misaada kwa ajili ya Ramadhani, maafisa wanasema. Kanda za video kwenye mitandao...
2 Reactions
11 Replies
699 Views
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli, Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango...
15 Reactions
181 Replies
10K Views
1) America loves underdogs Outside the US, rags to riches is mostly a fairy tale But in America: -Fredrick Douglass went from slave to statesman -Lincoln went from a log cabin to the presidency...
4 Reactions
21 Replies
844 Views
Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Jameni huu uzombi wa kidini hunishangaza sana, Mwafrika unaingiwa na uzombi unakwenda kwenye nchi ya Mwafrika mwenzako na kulipuka mabomu huko. Yaani hata ndugu wa damu akishaingia kwenye hii dini...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
More than 80 people were killed and hundreds injured in a crush at a charity distribution event in war-torn Yemen on Thursday, Huthi officials said after one of the deadliest stampedes in a...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Muda huu kuna mapigano makali kati ya majeshi mawili makubwa nchini Sudan Khartoum ambapo uasi wa kugombania utawala. Makundi mawili lile linaloongozwa na na mkuu wa jeshi la umma Gen .Albdel...
4 Reactions
207 Replies
12K Views
Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
The secret world of female freemasons - BBC News Haya angalieni video hiyo musikie yao. Nasomaga humu kila anayeingia kwa cult fulani kutoa makafala.. basi ni freemason.. sasa hawa ndio wao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
#Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Takriban wavuvi 115 wanatibiwa katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, baada ya kutoka baharini wakiwa na vidonda vya maumivu kwenye ngozi. "Sio ugonjwa wa kuambukiza - haiwezekani", anasema Karamba...
0 Reactions
6 Replies
854 Views
Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Walipewa amri kuua yeyote hata awe mtoto, yaani Warusi na Waarabu ni hatari sana dunia hii wakija kuachiwa https://www.express.co.uk/news/world/1759416/Wagner-Group-commander-Bakhmut-war-crimes...
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Mwanasiasa wa zamani wa India aliyepatikana na hatia ya utekaji nyara ameuawa kwa kupigwa risasi moja kwa moja kwenye TV pamoja na kaka yake. Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni miaka 20 imepita sasa tangu marekani aivamie Iraq kwa kile kinachosemekana Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha hatari za maangamizi ,anafadhili magaidi pia alikuwa anatesa raia wake, hivyo...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Pichani ni wananchi kwenye miji mbalimbali nchini Zambia wakiwa kwenye foleni za kununua unga wa mahindi. Kwa sasa Zambia inakabiliana na uhaba mkubwa wa unga wa mahindi maarufu kwa jina la MEALIE...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
G20 Chief Coordinator Harsh Vardhan Shringla By ANI India's G20 Presidency Chief Coordinator Harsh Vardhan Shringla on Monday said over 12,000 delegates from 111 countries have participated in...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Back
Top Bottom