Yaani breaking news :Fox news in number one for 10 years (msnbc plus CNN plus HLN combined haifikii fox news) hata hapa kutwaa mpo obsessed with Fox news .Hamlalii haha Obama amejitahidi wewe...
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine.
Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la...
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu.
Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana...
Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani...
Rescuers work outside a restaurant following a fire, in Madrid, Spain. Two men died and 10 others were injured after a fire at a restaurant in the Spanish capital Madrid, emergency services said...
Ndege ya Kivita aina ya Su-34 imeupiga mabomu mji wa Belgorod ndani ya Urusi yenyewe kimakosa na kusababisha watu 3 kujeruhiwa sana. Mlipuko Mkubwa ulisikika umbali wa Kilometa 11 na moshi mkubwa...
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....
Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks...
Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa...
Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa.
Ralph Yarl mwenye...
Hizi drone ni moto wa kuotea mbali zina uwezo mkubwa wa kuchakaza na kushambulia na zina speed kubwa sana yaan babkubwa
[emoji1130] BREAKING: Iran receives delivery of new & updated suicide...
Huyu comedian alipoonywa hakusikia hali ni mbaya kwa Ukraine na mabeberu wote nchi zote 40+ zinazomsaidia huko Huu mwezi wa nne hata haujaisha tayari ashapoteza wanajeshi zaidi ya 7000 ndani ya...
Wakati majira ya kuchipua yakianza nchini Ukraine, hali ya utulivu ya uhasama imeshuka kwenye medani za vita vilivyoanza Urusi mwaka jana. Mashambulizi ya majira ya baridi ya Moscow hayakufanyika...
JOHANNESBURG, Gunmen stormed a homestead in a township outside the South African city of Pietermaritzburg and ambushed a family, killing 10 people, police said on Friday.
Police did not give a...
The Question of Economic, Social and Cultural Rights
By
Obadia Kajungu, Esq.
(ADVOCATE)
Abstract.
This planet is one and it is for everybody so much so that there is no one person who has a...
Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano.
Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim...
Kikosi Maalum cha Wanamgambo nchini Sudan cha RSF, kimesema kimechukua udhibiti kamili wa Ikulu ya rais, makazi ya mkuu wa jeshi Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine....
Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday.
A thermal power plant caught...
[emoji1188][emoji930]
North Korea to launch spy satellite soon.
If North Korea launches a spy satellite, it could potentially improve their ability to conduct reconnaissance and surveillance...
Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.