Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa.
Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo.
Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda...
Mpango wa anga za mbali maalum kwa ajili ya uchunguzi wa mwezi ujulikanao kama Artemis upo mbioni kukamilika.
Mpango huu unahusisha ushirikiano na mataifa mbalimbali ikiwemo EU,Canada huku Africa...
ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST
Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za...
Hivi chama tawala cha felix tshisekedi kinajisikiaje pale wanapo ona nchi zote zenye nguvu wakimuunga mkono Moise Katumbi.
Hapa ni picha ya ambassada wa Belgium, USA, China, Ufaransa na Israel...
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa...
Chrystal Zhang has studied the business models of airlines. We asked her to make sense of the source of Ethiopian Airlines’ confidence.
When, and why was Boeing’s 737 Max grounded?
By 12 March...
Ndege vita aina ya Sukhoi 25 ya DRC imeshambuliwa kwa missile direct from Rwanda. Ndege hii ilikua ndani ya anga ya DRC ikizunguka mjini Goma.
Bahati mbaya ama nzuri wakati wakishambulia kuna...
Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta...
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Miaka 5 ya Rais Felix Tshisekedi nchini Congo
Hakuna alichokifanya zaidi ya kusafiri tu nje huko
Hakuna mradi wowote ambao alifanya umekamilika zaidi ya kulalamika kuwa mafisadi wanaiba pesa za...
Urusi walijaribu kuingiza meli ya mizigo Bangladeshi ikazuiwa, kwa kweli hadi huruma, Putin kiburi chake kinaiponza nchi. Tatizo Warusi watu wa ujamaa, wamezoea kupelekeshwa kama kondoo, hawana...
Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland...
Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine.
=========
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added...
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka...
Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa...
Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi.
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za...
A dollar collapse is now in motion and it is Saudi Arabia which has initiated the end of the petro dollar status.
Wednesday, January 25, 2023
The decline of a currency’s world reserve status is...
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.