International Forum

News and Stories from rest of the World
Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600. Novemba 2022 Nchi...
0 Reactions
7 Replies
469 Views
Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's...
7 Reactions
87 Replies
6K Views
Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Putin anaendelea kuachiwa apambane na hali yake, wanaume, wengi wao wakiwa vijana barubaru wameikimbia nchi..... Maana hawaoni tija ya kuburuzwa kwenda kupigana na jirani ambaye hana uadui na...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu..... Severely injured...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
maudhui ya kutisha - kwenye Halloween. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alifanya onesho mara kwa mara kwenye klabu ya usiku ya queer huko St Petersburg inayoitwa Gender Blender. Lakini...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mmoja wa wasaidizi wakuu wa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amejiuzulu kabla ya mabadiliko ya serikali yanayotarajiwa. Kyrylo Tymoshenko alikuwa naibu mkuu wa ofisi ya rais na alimshukuru Bw...
2 Reactions
6 Replies
917 Views
Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana. Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Watu wanashindwa kumuelewa Donny. Nafikiri kinacho fanya anakuwa controversial ni kwa sababu njia yake ya kutimiza mambo, yupo aggresive na egoistic. Ila kwa mambo aliyokuwa akiyafanyia kazi...
1 Reactions
10 Replies
716 Views
Namnukuu Jenerali Milley: "Kwa mtazamo wa kijeshi, haya ni mapigano magumu mno kwa ukraine". "Nasisitiza tena, kwa huu mwaka itakuwa ni ngumu, ngumu sana kuviondoa kijeshi vikosi vya Urusi katika...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Japan anasema nchi yake iko ukingoni kutoweza kufanya kazi kama jamii kwa sababu ya kushuka kwa kiwango cha kuzaliana Fumio Kishida amesema suala hilo linahitaji ufumbuzi sasa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
1 Reactions
5 Replies
521 Views
Macron comments on heavy tanks for Ukraine Paris is cautious of “escalating” the conflict, the French leader has said French President Emmanuel Macron and German Chancellor Olaf Scholz at a...
1 Reactions
8 Replies
841 Views
Ujerumani itapeleka vifaru vya kivita nchini Ukraine iwapo tu Marekani itafanya hivyo pia, kwa mujiru wa ripoti kadhaa. Kansela Olaf Scholz yuko kwenye shinikizo kubwa la kimataifa na ndani ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California. Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja...
3 Reactions
1 Replies
824 Views
*Congratulations to those who were not vaccinated! * Your persistence is absolutely wise and correct! * FDA loses case! Pfizer forced to disclose vaccine side effects data! 9 pages of side...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom