International Forum

News and Stories from rest of the World
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine... ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu...
2 Reactions
14 Replies
824 Views
Nitarudia kila siku War Is Hell, Russia alijua vita itaisha ndani ya siku tatu means masaa 72 ila hali imekua tete tumefikisha miezi kadhaa vita ifikishe mwaka special military operation imeleta...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine...
2 Reactions
4 Replies
612 Views
Ukraine imetaja madai ya Urusi kama "propaganda" kwamba imeua mamia ya wanajeshi wa Ukraine katika shambulio. Moscow ilidai, bila kutoa ushahidi wowote, kwamba "shambulio kubwa la kombora" katika...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
SAUDI ARABIA KUTOIARIKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI BADALA YAKE WAMEIALIKA CHINA NA URUSI Saudi Arabia kwa mara ya kwanza haitotoa mualiko kwa marekani kwenye mkutano wa uwekezaji...
14 Reactions
29 Replies
2K Views
Since the establishment of the President’s Q&A press conference dubbed “The Direct Line” by the Kremlin administration, African media have been missing out. The simple reason is that the Russian...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Ukraine’s interior minister killed in helicopter crash =============== Update: Swahili version Uongozi wa wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine wafariki katika ajali ya helikopta CHANZO CHA...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo. Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya...
3 Reactions
0 Replies
390 Views
Salamu off kidogo. Iraq, Libya, Syria, Vietnam, Afghanistan, Cuba n.k Hayo mataifa yote yalikipata cha mtema kuni pale yalipojaribu kutofuata matakwa ya Marekani. Yalichakazwa vibaya TENA NDANI...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Word has been received that Klaus Schwab, head of the World Economic Forum (WEF), has banned pilots who are vaccinated for covid from flying globalist attendees to and from Davos, Switzerland for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
American national has been reportedly killed in action while fighting for the government of Ukraine. He has been identified by the US media as Timothy Griffin, from New York State. Griffin’s...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nchi ya Indonesia inanuka moshi kila mahali, suala la uvutaji wa sigara nchini limefanywa ni ruksa kila mahali. Vichanga migongoni wanavuta hadharani. Watoto majumbani wanavuta hadharani...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom