Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa.
Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence...
Mnamo tarehe 14 Januari , jeshi la Ukraine liliripoti kwamba Urusi ilipiga jengo refu katika Dnipro kwa kutumia kombora la aina ya X-22 lililofyatuliwa kutoka kwenye kifyatuzi cha bomu Tu-22m3 juu...
Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu...
Sijui kama felix anakomboa Kongo au anazidi kuipoteza Congo.
Wakongomani tulimtukana Katumbi kwa kusema sio mkongomani sijui maneno mengi alivyosema kuna ya kuachana na vita hivi tujenge kwanza...
Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa...
18 JANUARY 2023
The CEO of Pfizer, Mr.Albert Bourlaw wasintercepted by New Media in Davos, Switzerland. It quickly became clear Mr. Bourla was not prepared for the questions asked by the...
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria...
Urusi imewashutumu maafisa wa ujasusi wa Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya Darya Dugina, binti wa mmoja wa wafuasi wakuu wa Rais Vladimir Putin.
FSB, kitengo cha usalama wa ndani cha Urusi...
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia.
Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow.
“Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito...
Leo tena naona kama kawaida makombora ya Urusi yanaendelea kurindima katika miji ya Ukraine.
Je hii mifumo ya Patriot ya Marekani haipo? Au mibovu?
My take:
1. Nashauri mama Samia ampigie...
Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane.....
Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in...
Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki.
Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said...
Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government...
Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa...
Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
Isabel...
Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake.
Nabizada alikuwa...
Vikosi viwili vya Wanamgambo wa Ukraine baada kukutana na kipigo kikali wamegoma kupigana mstari wa mbele na wamekimbia kama farasi kuelekea kwenye mapango ili kuokoa roho zao...
Kutuma vifaru na bunduki za kivita kwa Ukraine ili kuimarisha juhudi za vita vya nchi hiyo kutaacha Jeshi la Uingereza likiwa dhaifu, mkuu wake amesema.
Jenerali Sir Patrick Sanders alisema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.