International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwa siku hizi mbili Urusi imeendelea kushambulia anga la Kyiv bila shida yeyote! Lakini je ule mfumo wa kulinda anga walio pewa Ukraine na USA ni mbovu? Link: Russian missiles hit critical...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Ninachoona kinachoendelea Ukraine [emoji1255] ni madhara tu kwa nchi yao,asikubali kusogezewa mzigo wa siraha,watu wao wanakufa,miji inakufa,miundombinu nayo inaharibika
8 Reactions
239 Replies
14K Views
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limesema kuwa Mauaji ya waandishi wa habari na wafanyakazi katika vyombo vya habari yaliongezeka mwaka 2022 kutoka 55 na kufikia...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Something really major is going on concerning the World Economic Forum gathering in Davos, Switzerland. I reported earlier that WEF Chief Klaus Schwab would not attend due to health reasons, and...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika...
3 Reactions
3 Replies
501 Views
Kwa mara nyingine Urusi imeendelea kupiga maeneo mbali mbali ya Ukraine ambapo jengo moja la ghorofa 9 limeporomoshwa huko Oblast ya Kherson. Katika hotuba yake ya usiku wa jana raisi Zelensky wa...
11 Reactions
66 Replies
4K Views
Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
2 Reactions
10 Replies
958 Views
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili). ======== Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ; 1...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Matukio hayo yametokea Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo walikamatwa katika makundi mawili nyakati mbili tofauti. Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Iran yamnyonga raia mwenye uraia wa Uingereza na Iran Raia wa Uingereza na Iran Alireza Akbari, ambaye alihukumiwa hukumu ya kifo nchini Iran, amenyongwa. Familia ya Bw Akbari ilikuwa imeombwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja Kati ya nchi za Afrika, ambayo wakristo wanaishi kwa mateso makali hivi sasa, basi ni Nigeria. Hivi karibuni vimeripotiwa visa kadhaa vya Wakristo kuuawa nchini Nigeria. Vitendo hivyo...
1 Reactions
95 Replies
7K Views
Nepal imeanza maombolezo leo Jumatatu, Januari 16, 2023 siku moja baada ya Ndege kuanguka ilipokuwa ikijaribu kutua katika uwanja mpya, na kuua takriban watu 66 kati ya 72 waliokuwa ndani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
China imetoa ripoti ikieleza vifo vilivyorekodiwa kuwa ni 59,938 kati ya Desemba 8, 2022 hadi Januari 12, 2023 ambapo wengi waliofariki ni wenye umri wa miaka 80 waliokuwa na matatizo ya upumuaji...
1 Reactions
6 Replies
829 Views
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Back
Top Bottom