Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais...
Hili ndio jengo ambalo Urusi inadai kufanya shambulizi zito la kulipiza kisasi na kuua zaidi za wanajeshi 600 wa Ukraine.
Kitu cha kushangaza, Makombora yenyewe yamepiga pembeni. Sasa sijui hao...
Hamna vita ngumu kama ya kuwekewa vikwazo vya uchumi, huuzi, hununui, Mali za matajiri zinazuiliwa, baadhi ya nchi haupati visa, makampuni makubwa kufunga Biashara na kuondoka, bila kusahau utalii...
Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni...
Baada ya Urusi kushindwa Ukraine, ilibidi watumie wafungwa, kundi la kwanza ambalo limerudi kutoka Ukraine limeachiwa huru ila kwa kuombwa wasibake wanawake...
The first batch of Russian...
Haya maeneo ambayo Ukraine hataki kwenda meza ya mazungumzo pasipo kukabidhiwa
.Russia amekwapua maeneo hayo kwa ajili ya mkakati wake wa kuikabili NATO.
Kama Ukraine atang'ang'ana na mpango wake...
Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake....
A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am...
Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya...
Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima...
Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya...
Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having...
Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi.
Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana...
Hizi nchi mbili za Russia na China huwa zina
1. Jaji mkuu ?
2. Spika wa bunge ?
3. Mwanasheria mkuu?
Kwa nini katika haya mataifa mawili ambayo ni makubwa ulimwenguni na yenye ushawashi au...
Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali.
Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa...
There is no doubt that humanity is waking up to the huge injustice that is being stealthily carried out by a few individuals with the sole aim of completely dominating and enslaving humanity.This...
In some countries, people of many races, ethnicities, and nationalities are accepted and welcomed. Others aren't so lucky. Racism is a tough characteristic to measure. Many countries lack...
More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow
The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry...
More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow
The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry...
Kwa idadi hiyo, yanakuwa ni maandamano marefu zaidi dhidi ya Serikali Nchini Iran tangu Mwaka 1979.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Wanaharakati wa Haki za Binadamu (HRANA) inadaiwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.