DRC tulitakiwa sisi ndo rule Afrika kiuchumi kama alivyo usa uko Marekani, China, Asia, Ujerumani, Ulaya
Australia ocean. Lakini Sijui tuna feli wapi kabisa.
Kuna haja ya kujenga jeshi imara...
ais wa Russia Vladimir Putin amehudhuria misa ya kusherehekea krismasi ya Orthodox katika kanisa kuu la Kremlin, na alikuwa muumini pekee katika misa hiyo iliyofanyika usiku.
The 21st century is indeed a digital era where people around the globe can sit in the comfort of their homes to access the world with a simple click from their phones.
It's no longer news that...
Ukraine kadri siku zinavyokwenda ndivyo inavyojiandaa kwa vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Urusi. Kwa sasa itapokea makombora mapya na vinu vya kufyatulia Silaha.
Hii inatoa ishara ya kwamba...
Mohammad Mahdi Karami na Seyed Mohammad Hosseini walihukumiwa kunyongwa wakakata rufaa wakidai wakiteswa na kulazimishwa kukiri makosa.
Baada ya tukio hilo, hukumu za walionyongwa kutokana na...
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.
Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi...
A Published report
in the Nature journal reveals that Wuhan coronavirus (Covid-19) “face masks” are loaded with toxic levels of Titanium Dioxide (TiO2) that “systematically exceeds the acceptable...
Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo.
Hivi karibuni...
Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako.....
Aunilateral ceasefire called by Russia appears...
US general fired after using troops for personal tasks – media
The high-ranking California National Guard officer has reportedly been removed after two investigations
Brigadier General Jeffrey...
Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua.
Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya...
Chanzo CNN live tarehe 7/1/2023
Bunge lipo linaendelea hadi sasa hivi kwa saa za marekani (DC) ni saa saba usiku, Tanzania ni saa tatu asubuhi...
Pongezi kwa Spika mpya.
NEW DELHI:
INDIA reiterated on Thursday that peace and tranquility in border areas, as also respect for agreements on border peace, is essential for the development of bilateral relationship with...
NEW DelHI:
ALHAMIS ya wiki hii India imeendelea kusisitiza kwamba amani na utulivu katika maeneo ya mpaka baina yake na China ni muhimu yakaendelea kuheshimiwa kulingana na makubaliano ya amani...
Habari wadau, 2023 ikawe ya kheri kwenu.
Baada ya kupata likizo ya muda kutoka kazini kutokana na sikukuu, nimepata muda mzuri wa kufuatilia uchaguzi wa speaker wa bunge hapa Marekani.
Eee bwana...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 42 katika Jimbo la Utah nchini Marekani amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua mwenyewe, baada ya mkewe kudai talaka.
Kwa mujibu wa Shirika la...
Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo...
Two major vessels of the Russian Navy’s Northern Fleet – the heavy nuclear cruiser Admiral Nakhimov and heavy aircraft-carrying cruiser Admiral Kuznetsov of the Soviet Union Fleet – are deemed...
Iran iliionya Ufaransa Jumatano baada ya jarida la kejeli la Charlie Hebdo kuchapisha katuni zinazomoonyesha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei ambazo Tehran iliziona kuwa za kashfa.
Jarida...
Katibu mkuu wa umoja wa kujihami wa Wanamgambo wa NATO ametoa wito wa kutoichukulia poa Russia baada kuona Russia hawana wasiwasi na Vita vyao na ndio kwanza wanasonga mbele. Pia ikumbukwe Russia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.