International Forum

News and Stories from rest of the World
Kipindupindu kimeua watu 620 nchini Malawi tangu kuanza kwa mlipuko huo mapema mwaka 2021, Waziri wa Afya Khumbize Chiponda ametangaza. Hadi kufikia Januari 2, 2023, visa 18,222 vya ugonjwa wa...
0 Reactions
9 Replies
712 Views
Vita vinaendelea, milipuko na milio ya risasi zinarindima ndani ya hoteli moja kubwa Somalia, wameamua kujitoa mhanga kwa sababu zao wenyewe.... Al-Shabab gunmen have taken control of a hotel in...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya shambulizi la risasi na mabomu lililoua Watu 21 na kujeruhi 117 katika hoteli Nchini Somalia, Rais wa taifa hilo, Hassan Sheikh Mohamud ameahidi vita kali ya kutokomeza aliouita ugaidi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu"...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Patrick Karegeya: Kazaliwa Uganda kakulia Uganda, kasoma digrii Makerere, kaingia Jeshini Uganda hadi cheo cha Luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu...
53 Reactions
476 Replies
62K Views
Bombay High Court issues first notice to Bill Gates over plea on Vaccine death The Bombay High Court issued notices to Bill Gates, the Serum Institute of India (SII), the Drug Controller of India...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini .. kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili...
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Mitandao ya Warusi hakukaliki, bloggers wanatukana serikali hadi balaa, yaani jana wanajeshi 400 wameuawa kwa HIMARS, halafu drones 39 za Iran zilizotumwa kwa mkupuo kupiga uraiani zote...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
COVID19: Baada ya China kuondoa ghafla vikwazo vya Udhibiti wa Virusi hivyo, Ghana na Morocco zimekuwa Nchi za kwanza Afrika kuweka vikwazo vya usafiri kwa abiria kutoka nchini humo kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Museveni to enemies of Uganda: Once we mobilise, you can’t survive President Museveni has hit out at specific people who have an intention of destabilising Uganda, maintaining that the country...
4 Reactions
170 Replies
21K Views
3 Jan, 2023 12:15 US-made HIMARS destroyed in new strikes – Moscow More than 200 Ukrainian troops and foreign ‘mercenaries’ were killed, Russia’s Defense Ministry says Russian forces have...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Vikwazo vimeanza kukaza balaa, Warusi watazidi kupokea haya mapigo kisa kumuachia mtu mmoja aiharibu mother Russia..... The value of the ruble tumbled sharply against the U.S. dollar Wednesday on...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
1. Eminem Eminem has often included Illuminati imagery into his album covers. He supplied himself as a satan for his single "Berzerk" and he included one eye on his cowl of Relapse. 2. Jay-Z...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro amesema yupo tayari kurejesha uhusiano Kati ya nchi yake Venezuela pamoja na Marekani Licha ya kuwepo kwa vikwazo vya kiuchumi ambavyo vimewekwa na Marekani. The...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wabunge wawili wa upinzani nchini humo wamehukumiwa kifungo cha Miezi 6 jela kwa kumpiga teke tumboni Mbunge #AmyNdiaye aliyekuwa mjamzito wakati wa mjadala wa bajeti, baada ya kumkosoa Kiongozi...
0 Reactions
11 Replies
780 Views
Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara...
2 Reactions
3 Replies
426 Views
Back
Top Bottom